Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.
Igweee nimekaa na kuwaza sana nakusoma comment za waja nyingi sana ila jambo nimekuja kugunduwa JK ana akili sana tena sio wakumchukua poa. JK ni mwanajeshi mstaafu nje ya Urais na anakumbuka kiapo chake na hataki shari Mzee watu anataka kula bata nakufurahia mstaafu wake.
Kwa wale mnamkubuka...
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu lakini pia waweza kumwita Jasusi Imara na Komandoo wa Mikakati .Akikumbatiana kwa tabasamu na...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) amekutana na Rais wa Nigeria kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Taasisi hiyo na Nigeria.
Rais mstaafu Kikwete amemweleza nia ya Taasisi hiyo kutaka kuiomba Nigeria kuwa...
sijui ni kwanini Legacy yake haizumgumziwi kabisa,
shule za kata ni moja ya kitu muhimu zaidi alichoifanyia Tanzania, na hakitasahaulika...
Mwana demokrasia na mwana diplomasia ambae hakuna aliyewahi kumfikia Tanzania hii...
Hata chuo kikuu cha UDOM na miradi mingine ameitekeleza yeye...
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia...
Hii ndiyo hali halisi.
Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe haiwezi kuwa Mkoa.
"Wachawi wote wamekwisha kufa!" Jakaya Mrisho Kikwete.
Ndugu zangu Watanzania,
Jogoo 🐓 limeshawika Dodoma. Makada mbalimbali na wazee maarufu na viongozi mbalimbali mashuhuri wanaendelea kuunguruma na kuzungumza juu ya uimara , ushupavu, umadhubuti na uhodari wa CCM.
Lakini kubwa zaidi wote kwa pamoja na umoja wao wanaendelea kummiminia sifa na...
Natoa pemdekezo viongozi wote wastaafu walio kuwa high level waongezewe ulinzi.
2025 ni mwaka wa uchaguzi hawa wazee wana nafasi kubwa kwenye maamuzi magumu ya uchaguzi hawatopendelea ila watatenda haki na kwa sababu hiyo wanahitaji special ulinzi ukihusisha in and outside security.
Huu mwaka...
#Repost @mwananchi_official
——
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo.
Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao.
Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa...
Mimi kwa upande wangu baba yetu wa Taifa ndiye aliyetakiwa kutengeneza Katiba nzuri ya kuwalinda wananchi na kuwasimamia viongozi wakuu mbalimbali kutotumia vibaya nguvu wanapokuwa kwenye madaraka, lakini Baba yetu alifikiri kila Rais atakayekuja atakuwa kama yeye lakini haikuwa hivyo kabisa...
Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa.
Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?
Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili?
Jakaya...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa kijijini kwake Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo Novemba 27, 2024 ikiwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaofanyika nchini.
Jina la Jakaya Kikwete limeitwa mambo machache sana ninachokumbuka ni taasisi ya kibingwa ya moyo JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE.
Nyerere ndio anaongoza jina lake kuitwa maeneo mengi MAGUFULI hakustahili kwa namna alivyoboronga kwenye uongozi.
Ukitaka uwapange Ma Rais wetu watano kwa ufasaha sana kwa namna walivyoitendea nafasi waliyopewa ya kuongoza Nchi pamoja na mapungufu na kushindwa kutupatia katiba Mpya utawaweka kama ifuatavyo .
1. Hayati Benjamin Mkapa
Aliamini ukiwa na Taasisi zilizo imara basi utaweza kuwa na uchumi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa...
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa taasisi na watu binafsi wenye nia njema kujitokeza na kuchangia matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo ili kuwaondolea au kupunguza mateso yanayosababishwa na maradhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.