Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani.
Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi.
Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua umeme na Makao makuu ya jeshi la wanamgambo wa HOUTHI.
Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa...
Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili.
Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani
✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa
✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
Sijatambua ni mungu wa aina gani ambaye anaabudiwa na wanawaisrael sababu kubwa ni kwamba.
Kipindi yakobo anatokewa na Mungu beer sheba kama sikosei aliweka jiwe la agano,je hatuoni kiwa kinachoabudiwa ni mizimu ya Israeli?kama tunavyotambua kiwa Mungu ni nguvu na ipo kila mahala inakuwaje lile...
Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi
Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la shabaha kwa silaha za moto la IDF, tarehe 20-21. Desemba 2024
Watu wataruhusiwa kuzuru Mlima Karkom...
Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800.
Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo.
Jeshi la...
Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote.
Aah Israel ni Israel tu, yani...
15 December 2024
Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure
https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0
Na Musonda Mwewa ZNBC
Timu ya madaktari maarufu wa kimataifa wamewasili nchini Zambia kufanya upasuaji wa kuokoa maisha ya watoto 25 wanaougua matatizo ya...
Hili ni taifa teule la Mungu. Pamoja na Kuzingirwa na maadui pande zote yaani Hezbollah, Houth, Hamas, Iran, Russia na silaha kutoka kila upande wa dunia, bado Israel imeibuka kidedea.
Ushindi huu Sisi wengine mapema tuliona. Tulionya pia kwamba hawa maadui watapigwa. Kweli dunia imeshuhudia...
Matumaini mapya ya kusitisha vita vya GAZA yaanza kuonekana mara baada ya Wapatanishi (Misri na Katari) kueleza kuwa, kundi la wapiganaji la HAMAS limebadili Msimamo wake wa awali wa kutotoa orodha ya mateka walioko hai mpaka sasa.
Kundi la wapiganaji la HAMAS limekubali wanajeshi wa ISRAEL...
Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
Nimeona barua inayodaiwa kupatikana kwenye kavazi la aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad ikimhusisha kuwa alikuwa akitumiwa na intelijensia ya Israel kufanikisha baadhi ya mipango yao.
Lugha iliyotumika nimeshindwa kuielewa maana si mjuzi wake.
Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli.
Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria wameamua Israel iwatwae, Israel 'wanauovu mdogo' mbele ya uwezekano wa kunyakuliwa na waasi wa Syria...
Habari wadau
Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana.
Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana
Engineer amebadilika kama zuwena
Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda.
Nawazaa...
Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David.
Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David ulijaa vita miaka 40.
Na ni nadra Sana David alipigwa.
Kutokana ni hilo kwenye bendera ya Israel...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Usiku mwema inshallah
IAF continues preparations for potential strikes in Iran
IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.