Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion."
Walioandika historia hii waliwaona Abushiri bin Salim, Abdulrauf Songea Mbano na Bi. Khadija Mkomanile, Mtwa Abdallah Mkwawa kwa kutoa mfano...
Hakuna kitu kinachomweka Mtafiti katika hali ngumu kama pale anapoelezwa miujiza katika utafiti wake.
Hapa anakuwa katatazika kwa sababu mafunzo yake hayajamtayarisha katika hilo.
Mtafiti yoyote anakuwa hana shida pale anapoangalia utafiti kwa jicho lake na kuona mabadiliko ya anachokitafiti...
HISTORIA YA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM
Abushiri bin Salim alikamatwa sehemu za Handeni baada ya kusalitiwa akiwa anafanya mipango ya kutorekea Mombasa akiwakimbia Wajerumani.
Vita vyake vya mwisho dhidi ya Wajerumani ilikuwa Nzole karibu na Bagamoyo.
Jeshi lake lilishindwa kuhimili nguvu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.