AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA
Lupweko said:
Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika
Lupweko,
Mimi sina historia iliyo yangu.
Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930.
HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI
Somo 1-Wahima
KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA
Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
Historia ya uhuru wa Tanganyika itachukua miaka mingi hadi itulie na watu waseme hakika hii sasa ndiyo historia yetu.
Leo katika pita pita yangu nimekuta kitabu hicho hapo chini, ''The Media History of Tanzania,'' (1998) kikieleza historia ya magazeti toka enzi ya Wajerumani.
Kitabu hiki...
KAMA NILIVYOWAONA KATIKA UTAFITI WA HISTORIA YA TANGANYIKA
BARAZA LA MAWAZIRI WA TANGANYIKA 1963
Julius K. Nyerere, 41 years old, President
Rashidi Mfaume Kawawa, 34 years old, Vice-President
Sheikh Amri Karuta Abedi, 39 years old, Minister of Justice
Derek Noel Maclean Bryceson, 40 years...
Kwamujibu wa John Silivalon katika kitabu chake anabainisha nguvu ya kanisa katika siasa ya Tanzania
Nanukuu
"Maamuzi yoyote ya mwelekeo wa dunia hutokea baada ya kukubaliwa ama kuratibiwa na Kanisa kupitia shirika la Jeisuti ambalo utendaji wake ni wa siri zaidi. Karne ya 17 kanisa lilikuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.