hardware

  1. Brojust

    Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

    Amani iwe nanyi, watu wa Mungu. Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli. kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
  2. ndege JOHN

    Kwa location ya fremu hii ya bure niuze hardware au chips

    Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu. 1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji) Advantage: -Connection ya mafundi na mimi...
  3. Vien

    Biashara ya Hardware kwa Mtaji wa Milioni kumi (10m)

    Habari wanajukwaa, Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector katika ujenzi kwa kuanza na hivi vifaa 👇🏻 Electrical items Insulation tape Bulb enery savers...
  4. Baba Mtakatifu

    Ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua hardware?

    Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
  5. gaintoo broisser

    Mwenye Hard Disc

    Nahitaji Hard Disc Nipo Shy Town mwenye nayo Tufanye Biashara Ukubwa 1Tb 2Tb 3Tb na Kuendelea NOTE: Sihitaji Za Madukani Bei Gali Sana .
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

    Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi. Mawazo yangu niliyonayo ni Nafaka, vifaa vya simu pamoja na umeme, mwisho ni hardware. Nafaka nilitaka nideal na maharage...
  7. Mus_musa

    Utajiri Biashara ya Hardware 5mil Pekee

    Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki. Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi. Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware kuanza kuuza vitu vidogo vidogo vinavyo toka kila siku mfano Vitasa vya mlango, Rangi 5L, Misumali n.k...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Mchawi mtu mbaya sana, anaweza kumuonea wivu muuza genge huku yeye ana hardware anawapanga foleni wateja

    Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu. Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
  9. Beberu

    Biashara ya Hardware kwa 13M

    Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake, Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo, Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu, Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara...
  10. Investo

    Kwa wamiliki wa hardware je! Mnakopesha material au ni Hawa tu?

    Nipo hapa karibia na hardware,na jamaa anapesa Sana na anamiliki hardware mbili hapa mjini,hapa kawaacha wafanyakazi tu,Sasa siku moja nikawa na piga stoli na mfanyakazi mmoja ,katika kongea akanipa za ndani kabisa kuwa Kuna mfanyakazi kafukuzwa hapo,na namfaham kabisa,kaondoka na daftari la...
  11. W

    Electronics hardware na changamoto zake

    Habari wataalamu wa biashara! Nina wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme pamoja na vyombo vya umeme. Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu anipe mwongozo Kwa upande wa faida na changamoto za hii biashara! Nipo Kagera- Biharamulo Naomba kuwasilisha madam!
  12. I

    Biashara ya hardware kwa mtaji wa mil.7

    Habarini wakuu, Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wapi naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa DSM na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia. Ahsanteni, nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa...
  13. Z

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  14. W

    Matatizo makubwa ya Nchi zetu na Bara la Afrika yanatokana na 'software za ubongo na sio hardware'. Yaani tatizo ni 'minds'

    Fikra/Akili ni muhimu sana huhusishwa katika kujinasua kwenye minyororo ya kitumwa. Tanzania na Afrika kwa ujumla tunapenda kutuliza matatizo na sio kuyatatua Yaani tunameza 'pain killers' tu na sio dawa za kutibu. Tumefungwa kwenye minyororo ya Utumwa wa Fikra na Utumwa wa Kiuchumi. Tatizo...
  15. Jamii Opportunities

    Job Position(2)- Hardware Engineer at Wassha Inc

    1. JOB INFORMATION Organization: Division: Wassha Inc. Tanzania Branch Operation Department: Workstation: Engineering Department Dar es salaam, Mwanza, Mbeya and Dodoma Job Title: Hardware Engineer Number of Position: 2 (Two) Reports to: Direct Reports (Subordinates): Hardware Engineering...
  16. Forrest Gump

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Personally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia. Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware, then na mimi nikajikita katika b"ness hio hio. Nitashare kutokana na uzoefu, uwezo na kiwango cha...
  17. Forrest Gump

    MTAJI wa 25m: Pharmacy au hardware

    Wanajamii, Najua zote ni best ideas: ●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi ●Pharamcy ya kisasa ■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu. Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fix: Windows cannot Load the Device Driver for this Hardware because a Previous Instance of the Device Driver is still in Memory (Code 38)

    This error is generally associated with an external device you have installed recently and the error message is accompanied with performance issues regarding the device. The error itself can be found in Device Manager when opening the properties for the problematic device. Windows cannot...
  19. kali linux

    BLINDNESS IN TECH : Wadau na Wawekezaji kwenye technology wanakimbilia kuboresha hardware processing power bila kujali "Software efficiency"

    Hello bosses. Kwenye technology yoyote ile kwa sasa kuna watu muhimu sana ambao wengi hawawafahamu bali wanaishia kuona maajabu yao tu, watu hao sio wengine bali ni COMPUTER PROGRAMMERS au SOFTWARE DEVELOPERS. Iwe unaangalia TV, una-surf mtandaoni, unacheza game au unafanya kitu chochote...
  20. kali linux

    Human being living in 21st centuary is like running new software on ancient/old hardware

    Hello bosses... Em tutafakari kidogo. Binadamu tunajiumiza sana pasipo na sababu za msingi, miili yetu haijaumbwa/haijaumbika kwa ajili ya mazingira ya sasa hasa kwenye hii karne ya 21 na ndio maana kuna milipuko ya magonjwa ya ajabu kama vile kansa. Tunalazimisha miili yetu yenye physiology...
Back
Top Bottom