Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Watoto Kumbusho Dawson amewasilisha Ombi la Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar, kesi hiyo ya namba 2212 ya mwaka 2024 itatajwa kwa mara ya kwanza tarehe 13.02.2024 majira ya saa tatu asubuhi mbele ya Jaji Angelo Rumisha.
Mwanaharakati huyo na...
Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya binadamu. Kwa karne nyingi, elimu imekuwa ikichochea mabadiliko makubwa katika maisha ya watu na kuendeleza jamii kwa ujumla. Haki ya kila mtu kupata elimu imekuwa msingi wa maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kiutamaduni. Hata hivyo, katika ulimwengu wa...
Mila zimekuwa nguzo muhimu katika utamaduni wa jamii, zikichangia kudumisha uhusiano na kuleta umoja. Hata hivyo, katika hali fulani, mila hizi zinaweza kuwa chanzo cha madhara makubwa ambayo hayawezi kupuuzwa. Swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum, Maryam Azan Mwinyi, kuhusu mila ya...
Sheria katika nchi nyingi, ikiwemo Tanzania, zimeainisha umri wa chini wa miaka 18 kama kipimo cha mtu kutostahili kupiga kura. Dhana hii inatokana na imani kwamba hawajakomaa kifikra na kimawazo vya kutosha kufanya maamuzi ya kisiasa. Kwa mtazamo huu, ni kwamba kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa...
Wakuu,
Una jirani, rafiki yako au hata ndugu mnaoishi karibu na mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda huko lakini ghafla amekuwa habanduki kwa jirani huyo mzazi shtuka. Na kinyume chake vile vile, mtoto wako alikuwa anapenda kwenda sehemu fulani kucheza lakini ghafla haendi huko na unajua...
Wakuu,
Imekuwa ni kawaida au tuseme fashion kwa wazazi/walezi kupost picha au video za watoto mtandani.
Picha au video hizo zinaweza kuwa za vichekesho, matukio mbalimbali ya maisha au mtoto anaambiwa afanye tukio fulani huku akirekodiwa na kisha kupostiwa mtandaoni au hata vitendo vya aibu...
Wakuu kwema?
Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa.
Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako...
Wakuu kwema
Enzi sijafunga ndoa nilizaa mtoto wa kiume na binti mmoja wa kiislam kutoka Tanga. Hatukua na mpango wa kuoana hivyo mtoto alipofikisha umri wa miaka miwili kasoro nikamchukua na kuishi naye mimi, na sasa ana miaka 12
Mama yake alifanikiwa kupata kazi serikali lakini hakubahatika...
Ninaandika barua hii nikibubujikwa na Machozi Mimi kama Mzazi lakini nasitika kuona vyombo vya Dola ikiwemo ofisi ya mkurugenzi, wilaya Moshi vijijini, Mkuu wa Wilaya kutotimiza wajibu wao ipasavyo kuhakikisha Vitendo vya ukatili kwa watoto hasa wa kike na kiume havikomeshwi mkoani Kilimanjaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.