Qn: Is this real or fake?
Transcript Analysis: A Revealing Immigration Marriage Interview
Below is an analysis of a transcribed immigration marriage interview, highlighting key moments and exchanges between an immigration officer and marriage-based visa applicants.
Opening Questions
The...
Nimesikia Radio Moja hapa nchini ikitangaza mpango wa kujiunga na Green Card kuwa single ni 20,000, na familia 30000/- Huu ni wizi kama wizi mmwingine! Ilitakiwa watoe elimu jinsi ya kujiandikisha na sikuwatoa pesa! Wanakusanya pesa nyingi unaweza kukuta hata katika walioomba asipata hata mtu...
Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea!
Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za africa mashariki
Majibu ya walioomba Diversity Visa Lottery yatatangazwa kupitia official website ...
Wana familia wa JF,
Humu ndani naamini wapo Watanzania ambao wanaishi Marekani kwa nguvu ya GREEN CARD.
Kwa faida ya wengi, naomba yeyote anayejua au amefanikiwa kuwa na Green Card ya Marekani ni kwa namna gani imemsaidia kuishi huko USA na kwa namna gani imemsaidia kupata kazi nzuri na kuweza...
Moja ya nchi ambayo ina wananchi wake wanaoishi ugaibuni (USA, German, Italy, France, Canada, Australia, Norway, Spain, Denmark n.k) ni Tanzania. Ukiangalia Watanzania wanaoishi nje ya nchi idadi yake tunazidiwa na Somalia.
Ukiachana na nchi kama Kenya, Misri, Sudan, South Africa na nyinginezo...
Najua kuna wacheza kamari tayari wameshacheza, wengine hawana taarifa na wengine wamesahau. Naomba nitumie uzi huu kuwakumbusha wale wote walio tayari kucheza USA Green Card Lottery, kwamba, dirisha limeshafunguliwa na wacheza kamari kutoka nchi mbalumbali wanacheza kwa bidii kujaribu bahati...
Poleni kwa misiba Watanzania,
Naanzisha uzi huu kama rambi rambi kwa mwanachama mwenzetu aliyefariki hivi karibuni mzee wa bomayeee, case closed, free education n.k, kifupi tutammiss kwa zile mbwembwe zake katika social networks.
Hoja yangu ni hii, nataka tufahamiane iwapo yupo yeyote...
Wakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda kuwafanyia kazi wazungu bure lakini wengi wao walikufa njiani wakati wakisafirishwa kwa kutoswa majini...
Nimehangaika tangu wiki lililopita usiku na mchana masaa 24 siku saba za week lakini sijaambulia kitu. Kwenye mitandao wanajinasibu mikopo yao ni riba nafuu na unapata hapo hapo ila ukianza loan process mpaka utajuta.
Nimeweka kitambulisho cha NIDA, nikaenda kuscan barua ya maombi ya mkopo wa...
Sikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka
Jamani Green card inaombwaje, mnaojua mtusaidie tukafundishe lugha yetu tamu na adhimu ya Kiswahili, mlioshinda na wenye uzoefu naomba mniongoze njia.
Nataka nikale baga na piza ila nitawamisi senene, mbege, dagaa wa Kigoma na Mwanza, Kisamvu na msusa wa karanga.
Basi nitafanyeje!
Kumbe Tanzania tulikuwa katika huu mchakato wa kupata Entry na parmenent uraia wa Marekani, lakini sikua nafahamu mwanzoni nilikua nahisi ni kwa nchi kama Somalia, Sudan, Syria, Eritrea n.k.
Kwa Tanzania huu mchongo haukua maarufu au huenda kuna kakundi kadogo kalikua kanaujua mchezo halafu...
Entries for the Diversity Visa 2020 green card lottery program in the United States starts today, registration begins at noon Oct. 3, 2018 and runs until noon Nov. 6, 2018. Tanzanians who meets requirements are eligible to apply free of charge. If you are interested, here is the link to apply at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.