Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 ni mashindano mapya ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika Juni hadi Julai 2025 huko Marekani. Mashindano haya yanajumuisha vilabu bora kutoka mabara sita, yakiwa ni hafla ya kipekee ya kukutanisha vilabu vinavyowakilisha ubora wa soka duniani. Bara la Afrika...
Tarehe 15, Juni 2025 inatarajiwa kuanza michuano hii itakayo fanyika nchini Marekani.
Awamu hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa michuano hii kutumia mfumo wa mpya wa klabu 32 kama lilivyo kombe la Dunia kwa upande wa timu za taifa.
TIMU ZILIZOFUZU...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu.
Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
Soka la bongo limepambaniwa miaka na miaka na hapa ligi yetu ilipofika kweli ni pakubwa kwakua ligi yetu ni ya tano kwa ubora Afrika na huu ni kweli kuwa kazi na uwekezaji mkubwa umefanyika. Hili lilotokea kwenye derby ya Simba na Yanga ni kosa kubwa na linaweza kutugharimu pakubwa.
Kuingiza...
Usiku wa leo saa 6:30 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Morocco.
Ni mchezo wa aina yake kwani Morocco anaongoza kundi E akiwa na alama 12 huku Taifa Stars ikiwa nafasi ya 3 ikiwa na alama 6.
Je Taifa Stars itaondoka na alama 3 au ni Morocco?
Mchezo...
Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
Rais wa chama cha soka hapa Tanzania (TFF), Wallace Karia siku za karibuni amesikika akitoa matamshi yenye utata kwa kusema kwa kipindi kirefu akiwa Rais wa TFF, yeye na TFF kwa ujumla wake kwa makusudi wamekuwa wakiibeba sana Yanga kwenye ligi kuu ya Tanzania na kwa sasa wamechoka kuendelea na...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi ya Ligi nao wakaja na uamuzi wa kuahirisha mechi(mpango mkakati).
Kwa msingi huo, FIFA au CAS...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa hakika, TFF ndio wanaoharibu mpira wa nchi hii kwa kuingiza siasa ndani yake. Kwa mujibu wa sheria za FIFA, ni marufuku mashirikisho ya mpira ambayo ni wanachama wa FIFA, ikiwemo TFF, kuingiza mambo ya siasa kwenye mpira. Kuna matukio kadhaa...
Football ni mchezo uliotengenezewa udikiteta mwingi sana..
Moja ya udikiteta huo ambao kwangu nauona kama kero ni role ya refa mchezoni..mathalani:
1. Uamuzi wa Refa utakuwa wa mwisho katika mazingira yeyote yale.
2. Mchezo hauwezi kurudiwa au matokeo kubadilishwa hata kama itabainika...
Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) limefungiwa na FIFA kuanzia Februari 6, 2025, hadi itakapotangazwa tena, huku sababu za uamuzi huo zikiwa bado hazijawekwa wazi. Kufuatia kusimamishwa huko, FECOFOOT itapoteza haki zake zote za uanachama kwa mujibu wa Kifungu cha 13 cha Sheria za FIFA, na...
Shirikisho la soka Duniani FIFA limetangaza rasmi kuifungia Congo DR uanachama wake kwa muda usijulikana kutokana na machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini humo na kusababisha vifo.
Kwa maana hiyo Congo DR timu yao ya Taifa, Vilabu vyao na Viongozi wao hawataruhusiwa kushiriki michezo yoyote...
Wakuu
Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma, Pia: Rais Dkt...
“Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.
“Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha rasmi kuwa Kombe la Dunia la 2034 litaandaliwa na Saudi Arabia. Uamuzi huu ulitangazwa katika mkutano wa mtandaoni uliofanyika Zurich, Uswisi, chini ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino.
Saudi Arabia ilikuwa mgombea pekee aliyewasilisha nia yake kwa...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na Taarifa kutokea Twitter ya Privadinho ikikanusha taarifa zinazoelezea sakata la Yanga kufungiwa kusajili sababu ya kushindwa kulipa deni ya Bechem United. Tazama hapa chini.
Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA.
Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32.
Fikiria nchi yetu kwa timu hizi kubwa za Simba SC na Yanga SC zingepata bahati ya kushiriki ingetuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.