fei toto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Tetesi: Huyu anayetudanganya Kutwa kuwa Fei Toto anakuja Simba SC ni nani? Haya sasa 'Kuleni Chuma' hiki kuwa kwa 85% anarejea Walikomdharau na Kumnyanyasa

    Kwa 90% wameshamalizana nae na Mshahara wake wa sasa huko ni 'Kufuru' na Jumba la Kifahari Mbweni Ufukweni.
  2. kavulata

    Fei Toto anaisaidia Azam kubaki ligi kuu, amezidiwa na Mzize

    Kuwa na pesa na kuwa na mafanikio ni vitu tofauti, binadamu anahitaji vyote kwa nyakati tofauti. Pesa zinaisha lakini mafanikio (legacy) yanadumu. Kiwango cha FeiToto kwenye football kiko kwenye kilele chake cha juu lakini kinatumika kuisaidia Azam kubaki ligi kuu badala ya kuipeleka kwenye...
  3. Waufukweni

    Tetesi: Fei Toto apokea Ofa ya Tsh Milioni 600 kutoka Simba SC kwa Mkataba wa miaka Mitatu

    Kiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari kulipa kwa mafungu ya Tsh milioni 200 kila mwaka. Soma: Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje...
  4. Waufukweni

    Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  5. Stunnaman008

    Fei Toto mbovuu

    Kuna watu humu JF walisema sijui fei toto kibonge, fei toto mbovuu Jana kaliheshimisha Taifa
  6. Waufukweni

    Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida

    Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea klabu ya Singida Big Stars baada ya kuvitumikia vilabu vya Yanga, Azam na Simba. "Mwanangu buana...
  7. kiwatengu

    Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

    Match Day ⚽ Azam FC vs Yanga SC 🏟️ Benjamin Mkapa Stadium 🛡️ Community Shield. 📅 11.08.2024 ⏰ 7:00pm #Daimambelenyumamwiko# Tukutane saa Moja kwa Updates... Mwanzo mwisho!! Kikosi Cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA AZAM Updates.... Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze...
  8. sinza pazuri

    Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

    Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
  9. WAPEKEE_

    Fei Toto kama Cristiano Ronaldo, ukubwa una vita kubwa

    Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri. Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu , Finland, alikuwa amewasiliti dakika za mwisho wakiwa wamemsaidia kupambana na URUSI, baada ya...
  10. Lupweko

    Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
  11. Kichwa Kichafu

    Feitoto angekuwa mfungaji bora, mngekubali Aziz Ki apewe tuzo ya MVP?

    Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka. Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili. Stephan Aziz Ki akiwa ndio mfungaji Bora wa msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Akifatiwa na...
  12. Mkalukungone mwamba

    Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  13. S

    Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

    Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya 2.5M. Wazazi wake wamejengewa nyumba ikiwa ni sehemu ya kumshawishi ajiunge na Azam. Dirisha...
  14. kavulata

    Sikiliza maswali ya wanahabari wetu, ni kama ya Fei Toto

    Hebu sikiliza na kuona haya Dube na maswali ya waandishi wetu. Safari ni ndefu.
  15. J

    Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

    Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote Lakini kwa Feisal...
  16. Ahyan

    Hongera sana Feisal Salum (fei toto), umeonyesha kwamba wewe ni mchezaji muhimu sana, na umeonyesha kwamba unapaswa ucheze kwa dk 80 ama 90

    Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani, ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo, ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10 Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba...
  17. Beberu

    Fei toto katoa Assists 2, Azam ikiua 3-0 kigoma

    Match ipo dakika ya 80 Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr Silla Allasane diao Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sana.
  18. Lady Whistledown

    Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  19. Allen Kilewella

    Uhuni hauwezi kumsaidia Fei Toto kuwa mchezaji mkubwa

    Siku Azam FC wanacheza na Bahir Dar nilishangaa sana aina ya uchezaji wa Feisal Salum (Fei Toto). Wakati wote alipokuwa anapiga mipira ya adhabu alikuwa ni lazima asogeze mpira mbele. Alipokuwa Yanga ilikuwa akijiangusha ni lazima aushike na mpira kwa lengo la kulazimisha waamuzi wampe yeye...
Back
Top Bottom