emmanuel macron

Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron (French: [emanˈɥɛl ʒɑ̃ miˈʃɛl fʁedeˈʁik makˈʁɔ̃]; born 21 December 1977) is a French politician who has been serving as the president of France since 14 May 2017.
Born in Amiens, Macron studied philosophy at Paris Nanterre University, later completing a master's degree in public affairs at Sciences Po and graduating from the École nationale d'administration in 2004. He worked as a senior civil servant at the Inspectorate General of Finances and later became an investment banker at Rothschild & Co.
Macron was appointed a deputy secretary general by President François Hollande shortly after his election in May 2012, making Macron one of Hollande's senior advisers. He was later appointed to the Cabinet as Minister of the Economy, Industry and Digital Affairs in August 2014 by prime minister Manuel Valls. In this role, Macron championed a number of business-friendly reforms. He resigned from the Cabinet in August 2016, launching a campaign for the 2017 presidential election. Although Macron had been a member of the Socialist Party from 2006 to 2009, he ran in the election under the banner of a centrist political movement he founded in April 2016, En Marche.
Though initially behind in opinion polls, Macron topped the ballot in the first round of voting, and was elected President of France on 7 May 2017 with 66.1% of the vote in the second round, defeating Marine Le Pen. At the age of 39, Macron became the youngest president in French history. He appointed Édouard Philippe as prime minister, and in the legislative elections a month later, Macron's party, renamed "La République En Marche" (LREM), secured a majority in the National Assembly. In 2020, during the COVID-19 pandemic, he appointed Jean Castex as prime minister.

View More On Wikipedia.org
  1. Lady Whistledown

    DRC: Raia waandamana kupinga ujio wa Rais Emmanuel Macron

    Mashirika ya Kiraia yameandamana nje ya Ubalozi wa Ufaransa, kupinga ziara ya Rais Emmanuel Macron ambayo imepangwa kufanyika baadaye wiki hii Waandamanaji wanaishutumu Ufaransa kwa kuegemea upande wa Rwanda, ambayo imekuwa ikihusishwa na kuunga mkono kundi la waasi la M23 wanaoshambulia Raia...
  2. M

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa apigwa kofi hadharani

    Rais Macron kapigwa kofi na mtu anaesemekana kuchoka na hali ngumu ya maisha ambayo hajui itaisha lini. Mtu huyo tayari yuko chini ya ulinzi baada ya kudhibitiwa na Polisi --- Emmanuel Macron was a slapped on the face by a French woman protestor. Its all on the social media with different...
  3. M

    Emmanuel Macron akiwa na miaka 15 alikutana na Brigittie akiwa na miaka 44 na leo hawa ni mume na mke

    Brigitte Macron, first lady for France aged 69 years while Emmanuel Macron President of France is aged 44 years. They met for the first time when Brigittie was 44 and Macron was 15. Brigittie was married by then and she was Macron's teacher. Macron fell in love with Brigittie and he told her...
  4. Kingsmann

    Lucile Randon: Binadamu mpweke zaidi duniani

    Huyu ni Mtawa wa Kifaransa, Lucile Randon. Ana umri wa miaka 118 na ndiye mtu mzee zaidi ulimwenguni. Alizaliwa tarehe 11.02.1904. Marafiki zake wote, na jamaa aliowajua wameshakufa. Yeye ni kipofu na anatembelea kiti cha magurudumu. Kwa sababu ni mtawa, hivyo hana watoto wala wajukuu. Mnamo...
  5. JanguKamaJangu

    Rais wa Ufaransa apoteza viti vingi Bungeni

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameshindwa kupata kura nyingi katika uchaguzi wa wawakilishi wa viti vya Bunge, ikiwa ni pigo kubwa kwake katika utawala wake ambapo amerejea madarakani hivi karibuni kuendelea na muhula wa pili. Macron na washirika wake hawatapata Wabunge wa kutosha...
  6. BigTall

    Emmanuel Macron, Marine Le Pen kushindana raundi ya pili kuwania Urais wa Ufaransa

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya pili kati ya wawili hao baadaye mwezi huu. Matarajio yalionyesha Macron atashinda kwa kati ya...
  7. beth

    Paris, Ufaransa: Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Emmanuel Macron

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022 Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati...
  8. MK254

    Inside Adelle Onyango's Meeting With French President, Emmanuel Macron

    Media personality Adelle Onyango is over the moon after having an in-depth meeting with French President, Emmanuel Macron. On Thursday, October 7, the celebrated media icon narrated that the special meeting with one of the world's most powerful presidents birthed deep introspective moments in...
  9. beth

    #COVID19 Ufaransa: Watumishi 3,000 wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutopata chanjo

    About 3,000 health workers in France have been suspended because they have not been vaccinated against Covid-19. A new rule, which came into force on Wednesday, made vaccination mandatory for the country's 2.7 million health, care home and fire service staff. But French Health Minister Olivier...
  10. beth

    Aliyempiga kofi la uso Rais wa Ufaransa ahukumiwa kifungo cha miezi minne

    Mahakama imemhukumu aliyempiga kofi Rais Emmanuel Macron usoni siku kadhaa zilizopita kifungo cha miezi minne. Mwendesha Mashtaka amesema alichofanya Damien Tarel (28) hakikubaliki na kilikuwa kitendo cha makusudi cha ghasia. Rais Macron (43) alisema hakuamua kuchukua hatua za kisheria na...
  11. Sam Gidori

    Video: Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akinaswa kibao na mwananchi

    Watu wawili wametiwa mbaroni wakihusishwa na tukio la kumpiga kofi Rais wa Ufaransa, Emmanuel macron alipokuwa katika ziara rasmi Kusini mwa Taifa hilo. Katika video inayosambaa mitandaoni, mtu huyo anaonekana kumchapa Rais Macron kabla ya kudhibitiwa na maafisa usalama, wakifanikiwa kumwondoa...
Back
Top Bottom