dini

  1. sanalii

    Dini kuu mbili zote ziko katika mfungo, wanaojaza sehemu za starehe ni kina nani?

    Inawezekanaje kua Kwaresma na Ramadhani vimekutana lakini maeneo ya starehe mambo yako kama kawaida, hii inaleta tafsiri gani?
  2. M

    Ni ipi dini ya mitume wa mwenyezi mungu na manabii

    Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani? Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
  3. Dasizo

    Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  4. Hemedy Jr Junior

    Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

    Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo. Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
  5. Superbug

    Watanzania wenzangu tuachane na dini za kigeni tugeukie mizimu na matambiko yetu

    Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi! Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake...
Back
Top Bottom