diaspora

A diaspora () is a scattered population whose origin lies in a separate geographic locale. In particular, the word diaspora is used to refer to the involuntary mass dispersion of a population from its indigenous territories, most notably the Jews who were dispersed from the Land of Israel in antiquity (known as the Jewish diaspora). Some other diasporas are the African transatlantic slave trade, the southern Chinese or Indians during the coolie trade, the Irish during and after the Irish Famine, the Romani from India, the Italian diaspora, the exile and deportation of Circassians, the flight or expulsion of Arabs from Palestine, fleeing of Greeks after the fall of Constantinople, Expulsion of the Acadians, and the emigration of Anglo-Saxon warriors and their families after the Norman Conquest of England.Recently, scholars have distinguished between different kinds of diaspora, based on its causes such as imperialism, trade or labor migrations, or by the kind of social coherence within the diaspora community and its ties to the ancestral lands. Some diaspora communities maintain strong political ties with their homeland. Other qualities that may be typical of many diasporas are thoughts of return, relationships with other communities in the diaspora, and lack of full integration into the host countries. Diasporas often maintain ties to the country of their historical affiliation and influence the policies of the country where they are located.
In 2019, according to data released by United Nations with 17.5 million Indian diaspora is world's largest diaspora, followed by 11.8 million Mexican diaspora and 10.7 million of Chinese diaspora.

View More On Wikipedia.org
  1. Wimbo

    Diaspora rudini nyumbani

    Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini. Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia...
  2. The Assassin

    Kwa serikali ya sasa ni Diaspora gani alitolewa nje kuja kusaidia nchi?

    Nakumbuka enzi za Kikwete na Mkapa watanzania wengi wenye taaluma mbalimbali waliokua wanafanyakazi nje ya nchi waliletwa kuja kusaidia kuleta maendeleo kwa ujuzi na uzoefu wao walioupata huko nje. Kwa mfano Mkapa alimleta Daudi Balali, Kikwete akamleta Ndulu, yule mama wa uwekezaji, mama...
  3. Madingi ya Mbinguni

    Uzi maalum wa sisi diaspora tunaoonewa wivu kisa tupo Ulaya au USA

    Kutokana na wabongo wengi kutuonea wivu sisi waishi ulaya nimeona nifungue huu uzi ili nyie mlioko nchi za maziwa makuu mje humu mumtaje mwana ulaya mmoja mkimtaka atoe uthibitisho wa yeye kuwa mbele USA au Europe. Nimegundua wabongo wengi mna wivu mtu akiwa mbele mnamchukia mtamfukunyua mpaka...
  4. K

    Elimu nzuri kuhusu corona kutoka kwa diaspora

    Video Conferencing, Web Conferencing, Webinars, Screen Sharing
  5. K

    Diaspora wengine wamefungiwa ndani -Corona wajulie hali ndugu zako

    Bahati nzuri kazi yangu binafsi naweza kufanya nyumbani na ingawa nipo kwenye mambo ya Afya nafanya kama consultant na kusaidia Hospitali kwenye mikataba ya ununuzi. Kuna Watanzania wengi sana ambao wanafanya kazi za huduma za kiafya hawa wote wapo hatarini sana. Vifaa hakuna vya kutosha maana...
  6. KIM KARDASH

    Kwa Diaspora CHADEMA damu

    Watu mnaoipenda chadema mlio nje hususan Marekani mnatakiwa kukisaidia chama kwa kufanya fundraising kukisaidia chama kulekea kwenye uchaguzi, nilizungumza na kiongozi mmoja alinipigia akiniomba nisaidie kufanya mobilization jukumu ambalo kwangu peke yangu naona ni gumu ndio maana nimelileta...
  7. Leslie Mbena

    Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja litakalojengwa kutoka Dar hadi Zanzibar

    MDAU WA DIASPORA AJIBU MASWALI KUHUSU DARAJA LITALOJENGWA KUTOKA DAR HADI ZANZIBAR. Leo 19:15pm,28/12/2019 Kutokana na Mgongangano wa mawazo ili Watanzania tufikie lengo kuu lenye kuleta tija,Mdau wa Diaspora amejibu maswali kiufasaha kuhusu ujenzi wa daraja kutoka Dar hadi Zanzibar ili wadau...
  8. J

    Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

    Rais wa Zanzibar Mh Dr Shein amesema kabla hajamaliza muhula wake wa uongozi atahakikisha sheria ya kuwatambua Wazanzibari (Watanzania wanaoishi nje ya nchi inakuwepo). Pia Msemaji wa Zanzibar amesema mipango ya kujenga daraja la kuiunganisha Zanzibar na Tanzania bara imekamilika na taratibu za...
  9. Pascal Mayalla

    Habari njema kwa Diaspora wa Tanzania, Wale ambao hawajajilipua, kuwekewa utaratibu, kupiga kura-Waziri Mkuu

    Wanabodi, Kuna habari njema kwa Diaspora wetu, wale Diaspora ambao wako ughaibuni na hawajajilipua, watawekewa utaratibu kuwawezesha kupiga kura. Hayo yamebainishwa leo Bungeni katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambao mbunge fulani za Zanzibar aliuliza ni lini wana...
  10. M-mbabe

    Tanzania USA Diaspora's Fundraising Appeal for Mr. Tundu Lissu

    FUNDRAISING APPEAL FOR MR. TUNDU LISSU This is an appeal to help meet the medical expenses and living costs for Hon. Tundu Antiphas Lissu and his family. A prominent opposition politician and member of the Tanzanian Parliament, The Chief Whip for Tanzania main opposition, and former...
  11. M

    Tanzania Foreign Policy & strategy | Diaspora

    Serikali | Tanzania, pamoja ya kuwa inafanya vyema, lakini much more have to be done. Inabidi, Serikali | Tanzania i re calibrate sera zake za nje. Pia serikali |Tanzania inapaswa kufanya kazi na wananchi wake kwa ujumla wao walio ndani na nje(Diaspora). Tanzania ijitoe kwenye position ya...
  12. M

    Diaspora inflows rise 42pc to hit Sh268bn

    Cash sent home by Kenyans abroad rose 39.54 percent in 12 months through October helped by increasing investment vehicles and a tax amnesty. The inflows hit $2.61 billion (Sh267.75 billion) in the period compared with $1.87 billion (Sh191.88 billion) a year earlier, the Central Bank of Kenya...
  13. Pascal Mayalla

    Je, Diaspora wetu wana mchango wowote kuisaidia Tanzania kisiasa? Wana any influence kwenye siasa za nchi yetu? Angalia Diaspora wa India

    Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu mchango wa diaspora na influence yao kwenye siasa za nchi zao, hivyo najiuliza, je hawa wana diaspora wetu sisi Tanzania, waliotapakaa ulimwenguni kote, jee wana mchango wowote katika siasa za nchi yetu? Je, wana influence yoyote kutumia their exposure na the...
  14. Delegate

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Ndugu wana diaspora, Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa? Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start. Kwa...
Back
Top Bottom