Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
Habari mi nicomedian bdo najitafuta naomba support yenu instagram natumia trump mwambelo Facebook trump mbs tik Tok Trump mbs WhatsApp no 0658903409 kama kunamdhamini anidhamini maoni pia na pokea asanteni
Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes .
Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo.
Lakini ni tofauti kabisa na...
Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani.
One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda jukwaani anatoa vichekesho vile vile. Yet, promoters keep on booking him and he makes money off it...
MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari.
Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha.
Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine.
Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu!
Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi
Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya makubwa. Kwa sasa wachekeshaji nao wanaingiza pesa nyingi kama wasanii wengine tofauti na zamani...
Comedian wa Nigeria Samuel Asubiojo, ambaye ni daktari kwa taaluma amesema Comedy inalipa kuliko udaktari.
Asubiojo ambaye ni maarufu kama Mama Ojo alisomea udaktari wa binaadamu nchini Ukraine mwaka 2012 hadi 2018 lakini hakuwahi kupractice taaluma hiyo tangu hapo.
Kwa sasa anapata hela kwa...
Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge.
Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na...
Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji.
Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani.
1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu.
2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
Habarini wakuu
Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV.
Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi...
Pamoja na kudhihakiwa sana mitandaoni huyu dogo anazidi kung'ara duniani. Apewe support na vyombo husika. Watanzania wanahitaji hv vipaji kuondoa stress
Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana anapenda kucheza miziki ya Afrika, vyakula vya nyumbani yeye ndio anakula hata akiwa marekan mara...
Wamiliki wa vyombo vya habari hasa ITV, TBC na Star TV mlikuwa wapi hadi vyombo vyenu vimepoteza mvuto kiasi hiki?
Leo watu wanasikiliza vipindi na kuangalia wasafi, clouds, TV E, na media mpya mpya ambazo asilimia kubwa ya watangazaji si wanataaluma ya habari niwasanii na wanamziki...
Maisha kwasasa yamekuwa so boring and stressful.
Nadhani ndio maana industry ya comedy inaonekana kukua sana siku za hivi karibuni.
Je, kwako ni Comedian gani bora unayependa kumsikiliza au kumwangalia.
Any recommendations.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.