Buhigwe is an administrative ward in Kasulu District of Kigoma Region of Tanzania.
At the time of the 2012 census, the ward had a total population of 15,224
BUHIGWE
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kigogwe wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma ametoa wito kwa serikali kupitia wizara ya ujenzi na makampuni ya ujenzi kuweza kujitolea kukamilisha ujenzi huu ambao kwasasa unaendelezwa na wanakijiji,
Ndugu Methusela Ntahonsigaye ambaye ndiye mwenyekiti ameeleza ya...
Habari wakuu,. Poleni na majukumu ,
Nianze Kwa kusema kuwa Jimbo la Buhigwe ni Moja ya Jimbo ambalo linapokea Miradi mingi ya maendelo Kuliko wilaya nyingi za hapa Tanzania, na Hii ni kutokana na Jimbo Hilo kuwa eneo analozaliwa makamu wa Rais hivyo Hii imechangia sana kupata maendeleo haraka...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angellah Kairuki amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe (DED) mkoani Kigoma, Essau Ngoloka kupisha uchunguzi.
Mkurugenzi huyo amesimamishwa ikiwa ni siku chache zimepita tangu, Makamu wa Rais, Dk...
Benki ya NMB yazindua tawi jipya Buhigwe nyumbani kwa Makamu wa Rais Philip Mpango.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango leo ameipa Benki ya NMB baraka zake na kuzindua Tawi jipya la Benki hiyo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma na kuipongeza kwa uthubutu na kuwafuata Wananchi...
Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
UZOEFU WA ACT WAZALENDO KATIKA KUSHIRIKI CHAGUZI ZA MARUDIO ZA 16 MEI 2021
Chama cha ACT Wazalendo kilishiriki katika chaguzi ndogo za marudio katika Majimbo ya Muhambwe na Buhigwe na Kata 5 kati ya Kata 17 zilizokuwa zinachagua Madiwani. Tuliamua kushiriki katika...
Bado masanduku ya kura hawajakimbia nayo?
Bado kura zilizopigwa tayari hazijatumbukizwa kwenye masanduku ya kura
Bado mawakala hawajafurushwa kutoka kwenye vituo vya kupigia kura?
Bado Majina ya wapiga kura wenu hayafutwa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.