Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyambuli Tungaraja kusaini hati ya mashtaka ili mtuhumiwa aweze kusomewa kesi yake popote alipo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba...
Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wa Magereza, itatolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024.
Kesi hiyo ya jinai...
Kesi ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam, inayowakabili washtakiwa ‘wanaodaiwa kutumwa na afande’ leo Jumatatu, Septemba 2, 2024 inaendelea kusikilizwa.
Wakili anayewawakilisha washtakiwa, Godfrey Wasonga amesema kuwa kesi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imepanga Septemba 5, 2024 kutoa hati ya ukamatwaji kwa mtu anayetambulika kama Afande, Fatmah Kigondo anayedaiwa kuratibu tukio la ubakwaji na ulawiti wa Binti wa Yombo Dar es Salaam endapo kama hatofika mahakamani.
Hatua hiyo inakuja baada ya Mlalamikaji ambaye...
Kesi ya jinai iliyofunguliwa na wakili Paul Kisabo dhidi ya afisa wa polisi ASP. Fatma Kigondo anayetajwa kama "afande Kesi ya jinai ilifunguliwa na Wakilin Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa polisi, ASPNFatma Kigondo anayetajwa kama "afande" inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo...
Nipo naangalia Star TV hapa dira ya dunia BBC swahili.
Habari ya binti aliyebakwa imeshasambaa sasa hadi nje ya mipaka ya Tanzania.
Jeshi litoe tamko kuhusu sakata hili.
PIA SOMA
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.