Ndugu zangu watanzania,
Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa...
Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu"
Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hii👇👇👇👇👇👇👇👇
Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza.
1. Habari/Media.
Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...
INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.
Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja.
1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia...
Alikuwa akihojiwa na Maulid Kitenge kuhusu kusifia kila kitu yeye akasema, hajui kutaga yai lakini yai bovu analijua, ‘mimi kama kiongozi wa dini wajibu wangu ni kuangalia wapi panahitaji kunyooshwa sio wapi panahitaji kusifia, wakati wa Mwalimu ukimsifia anaku- demote siku hizi ukisifia sifia...
Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
"Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi"
"Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao.
Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania...
"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu...
Asante Baba Askofu Bagonza.
Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.
Mungu akutunze baba yetu.
=======
Anaandika Bagonza ( PhD)
CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE
Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.