Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba...
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
Ni baada ya kipindi cha kwanza kuisha kulizuka mzozo kwenye lango la kwenda vyumba vya mapumziko, baada ya varagati hilo alionekana moja ya makocha wa Singida Black Stars akiwa amelala chini.
Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.
Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wanyezaji hao ni;
Balua,
Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui...
Taifa stars ifundishwe na walimu wenye ubora na uzoefu mkubwa kuliko wachezaji wanakotoka kwenye timu zao. Hii itachechemua fikra za wachezaji kuhusu timu yao ya Taifa. Mwanafunzi wa chuo kikuu kufundishwa na mwalimu wa secondari haiamshi hamasa ya mwanafunzi kutaka kujifunza. Timu yetu ya Taifa...
Usajili ni mkubwa lakini timu haiko vizuri kusema ukweli. Hata nafasi hii ya kucheza CAF championship ilitokana na TFF kuruhusu Tabora united yenye wachezaji 8 uwanjani kucheza na Azam na kujipatia pts 3 na magoli meeengiiii yaliyosababisha kuishinda Simba kwa magoli kwenye msimamo wa ligi...
Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu Pamba ile ya golini Madata Lubigisa au Paulo Rwechungura, kulia Abdallah Bori kushoto Deo Mkuki, Nne...
Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na...
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC.
Kikosi cha Yanga
YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI
Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa...
Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi.
Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa...
GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa.
GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe /...
Ni kweli hajui Kifaransa, lugha ambayo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaongea, lakini weledi wake kwenye kusaidia mambo ya kiufundi ni mkubwa sana.
Simba isipoteze muda, imrudishe Mgunda kwenye Benchi la Ufundi kabla timu haijaharibikiwa kabisa.
Naibu Waziri wa Utamaduni sana na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma usiku wa Mei 16, 2023 nchini Afrika Kusini, amepata nafasi ya kufikisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Yanga kuelekea kwenye mchezo wao wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.