Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo.
Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana...
1. Kwanza kuwa mpole, wala usipanic code zikizinguwa, hii ni kawaida.
2. Usiwaze kutengeneza app kubwa saaanaau yenye mambo mengi mapema.
3. Kutengeneza app ni kama ujenzi, usiwaze saaana kwamba utamaliza lini.
4. Usiwe msiri kuuliza unapokwama na wala usiwe msiri kusaidia wengine. Hata hivyo...
Dear members,
I am using Tecno camon 17. This phone is a bit crazy. It downloads many apps by it self. Even when you uninstall the app it install it again. There is an app called SCOOPER NEWS. Every day I uninstall Scooper but the phone install it. Is this normal? Tecno acheni ulofa basi.
Habari wakuu.
Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10.
Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported.
Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali...
Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..??
Msaada tafadhari.
Hello bosses.......
Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
Moja kwa moja..
Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua .
Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia...
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.
Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.
Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
Habari Wakuu,
Kwa siku tatu Sasa Simu yangu Tecno BC3 imekuwa na tatizo la kudownload Apps kwenye play store. Nikijaribu inasema pending tu. Nimejaribu solutions zote nilizopata mtandaoni isipokuwa factory reset bila mafanikio.
Msaada tafadhali.
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu,
Kwa upande wa Mobile Application iwe Android au iOS platform ,
Katika mifumo miwili hiyo hapo juu unaweza kujipatia
App za mifumo
App za kioffice
App za majukwaa
App za Biashara nk
Pia katika maorodhesho hayo hapo juu inaweza kuwa ni Desktop App au Website...
Kisimu changu Itel It6910 kuna uwezekano nikatumia Facebook Lite au WhatsApp?
Je, kuna uwezekano wa ku-update Java Version?
Je, kwanini Apps nyingi zinagoma ila kwenye simu za batani zinakubali?
Java AppStore gani yenye apps ambazo nitaweza kuzitumia kwenye simu h it6910?
Pia Browser gani...
Tusaidiane kuzijua top ten apps ambazo ni Tanzanian made
Juzi nimeona watu wameitaja Sarafu na siijui ni app inahusu nini?
Hebu tuzitaje hapa Apps zote za Tanzania ambazo zina impact
Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa.
Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating...
Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wakutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka.
Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kuanzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au zaidi...
Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wa kuunda / kutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka.
Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kusnzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.