anna tibaijuka

Anna Kajumulo Tibaijuka (; born 12 October 1950) is a Tanzanian politician and United Nations official. She was a Chama Cha Mapinduzi (CCM) Member of the National Assembly for Muleba South constituency during 2010 to 2020 and served as the Minister of Lands, Housing and Human Settlement Developments from 2010 to 2014.
Tibaijuka is also a former Under-Secretary-General of the United Nations and executive director of the United Nations Human Settlements Programme (UN-HABITAT). She was the second highest ranking African woman in the UN system, after Deputy Secretary-General Asha-Rose Migiro, until her resignation in 2010 to run for political office in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Uchaguzi 2025 Prof. Anna Tibaijuka asikilizwe kuhusu Mgombea Binafsi. CCM iache woga na udikteta

    Bandugu, msomi mwenye degree 15 Prof. Tibaijuka amekuja na hoja ya mgombea binafsi katika chaguzi zetu. Prof amejenga hoja kwamba kulazimisha watu kujiunga na vyama vya siasa ni udikteta wa kivyama na hasa CCM kama chama tawala. Prof anatolea mfano wa magwiji wa demokrasia duniani, Marekani...
  2. W

    Prof. Tibaijuka: Utaratibu wa Mgombea Binafsi utaimarisha vyama vya siasa nchini

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya udikteta wa vyama. Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2024 alipokuwa akitoa mada ya ushiriki wa wanawake...
  3. R

    Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

    Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki! Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao...
  4. P

    Rushwa Ilivyo Muharibia Prof. Anna Tibaijuka

    Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani. Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa...
  5. J

    Profesa Tibaijuka: Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ila limeshindwa kuregulate mafuriko!

    Waziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko Limeshindwa Tibaijuka amesema Tudai kujua kwanini na kurekebisha tukitambua Hasara ya kutekeleza miradi...
  6. Mjanja M1

    Uchaguzi 2025 Anna Tibaijuka: Kimfumo uwezekano wa kutangazwa mshindi ukitokea upinzani haupo

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa. "Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo...
Back
Top Bottom