Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii.
Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani?
Niko Tanga, Tanzania
Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi.
Ningependa kwa wenye...
Kati ya mwaka 1960 hadi 1966, Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya Nyuklia nchini Algeria katika maeneo mbalimbali ya jangwa la Sahara. Ufaransa ilifanya majaribio haya kwenye maeneo ambayo "walikodishwa" na Algeria kupitia mikataba iliyosainiwa kati ya Algeria na Ufaransa Ili kusitisha vita...
Wanasimba acheni ujinga na kutaka kuwatafutia lawama wachezaji wenu. Simba haijawahi hata kutoa draw nchini Algeria. Leo cha kufanya ni kuounguza idadi ya magoli wasifungwe magoli mengi sana maana hapo ni kupunguza idadi ya magoli tu.
Simba yenyewe ni tia ndimu tia ndimu hamna muunganiko kila...
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire
Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo...
Wakuu
Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport
==
Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
Kikosi cha Simba kitasafiri Alfajiri ya December 5, 2024 kwenda Algeria ambapo itacheza mchezo wa pili hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine.
Kikosi kitaondoka na nyota 22 kuzisaka pointi tatu nyingine kwenye Uwanja wa Mohamed Halaoui Desemba 8 kuanzia saa 1:00...
Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na Algeria hii gesi ndio bei rahisi sana nadhani kuliko sehemu nyingine...
Wamefanikisha hayo kwa kutumia...
Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati
Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania.
Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia...
Wakati Deportivo de Utopolo wakijiandaa kukipiga dhidi ya C.R Belouizdad, tujikumbushe kauli moja ya Super Coach, Abdelhak Benchikha alipokuwa anafundisha USM Algiers.
Benchikha alitoa kauli hiyo wakati USMA walipokuja kucheza na Deportive de Utopolo katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe...
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.
ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.
Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
Sofia Benlemmane Ambaye ni raia wa Algeria amefurushwa toka Ivory Coast (deportation) baada ya kutoa maneno ya kashfa juu ya taifa hilo na wenyeji wake wa Afcon.
Sofia alinukuliwa akisema Ivory Coast ni taifa maskini ambalo bado linaishi kama zama za kale na akaongeza kuwa Algeria imeendelea...
Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space
Kwa msaada wa google:
Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao.
Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿
"sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi waandamizi walioambatana na yanga sc huko nchini Algeria
Cognizant "Think Tank and Adorable Angel"...
GENTAMYCINE nikiwa nakuja na Threads hapa za Kuwaonya Viongozi wa Simba na Yanga wawachane mubashara ( live ) Wachezaji wazawa kwa Kuwaroga ( kupiga Pini ) Wenzao wa Kigeni si huwa Mnanipuuza na Kunidharau?
Haya mwambieni Kocha Mgunda amrudishe tena Mchezaji Aubin Kramo kwa yule Mganga wa...
Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini kinasemwa huko nje na nakileta kwenu muone jinsi wanavyotuchafua na kutuona kama hatukuwa na uwezo wa...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?
Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?
Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.