ajira afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2025DG

    Naombeni ushauri juu ya kurudi shule baada ya kuajiriwa serikalini

    Habari wakuu. Mimi kijana niliyesoma Diploma ya uuguzi na ukunga nashukuru Mungu mwaka huu nimebahatika kuajiriwa rasmi Serikali. Nilikuwa na lengo la muda mrefu kujiendeleza kimasomo lakini nilikuwa nasubiri kwanza niingie kwa mfumo rasmi.. Wakuu naombeni ushauri wa Mambo yafuatayo. 1.Mbinu...
  2. Tabutupu

    Serikali ilitangaza nafasi 726, walioitwa 45 (Medical officer II)

    Mwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu. Je serikali inafahusika ina maelezo yoyote ya ziada? Haiwezekani nafasi 726 zitangazqe na wapatikane 45 tu. Wengi wanashindwa kuelewa...
  3. Jerry001

    Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

    Ingia kwenye tovuti ya ajira utumishi kuona matokeo yako: Public Service Recruitment Secretariat | PSRS . Pia unaweza kupakuwa pdf attachment no.1 hapo chini kuona matokeo. UPDATES: Matokeo ya AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) yametoka, unaweza kupakua pdf no...
  4. B

    Natafuta wadada na wakaka wachapa kazi kwa ajiri ya kuuza juice mabibo sokoni

    Natafuta wadada na wakaka wachapa kazi kwa ajiri ya kuuza juice mabibo sokoni.... Awe karibu na eneo ili asitumie nauli kubwa. Mawasiliano: 0686263327 , 0678747553 Note: wawe wachapakazi na wanaojielewa .
  5. Jamii Opportunities

    Various Posts at The Ministry of Health December, 2023

    The Ministry of Health (MOH) through Global Fund (GF) Grants is looking for enthusiastic, creative and energetic individuals whom will work under a three years (1st January, 2024 to 31st December, 2026) contractual agreement to fill 123 vacant positions. GENERAL CONDITIONS: i. All applicants...
  6. CARDLESS

    Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine

    Maisha yamebadilika sana, watu wameongezeka sana, utandawazi nk. Vyuo, vimeongezeka na wahitimu wameongezeka maradufu. Hali ya Ajira ni changamoto sana kwa vijana hawa. Hali hii imepelekea mrundikano mkubwa wa wahitimu mbalimbali nyumbani. Katika hali kama hii ndipo suala la usaili...
Back
Top Bottom