Search results

  1. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Hakuna kitu kinaitwa "kilikuwepo" kwenye hii universe apart from God himself. Hicho kisayansi cha nature kinachokusumbua kichwa mimi nna idea nacho kuliko hata wewe hapo. Labda Kiranga pekee ndiyo anaweza kuongea kuhusu hilo ndiyo nikamwelewa ila siyo wewe ambae hoja zako ni nyepesi sana...
  2. A

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Ok, Brother kama hutajali niachie mawasiliano yako ya simu hapa nitakutafta nikusimulie na kama ni mwongozo wa toba utanipa. Nimepitia masaibu mengi sana/hadi sasa napitia kwa mambo tu ya kijinga ambayo sina ya kumlaumu zaidi ya mimi mwenyewe. Kuna jamaa mmoja aliposti uzi wa kiroho humu...
  3. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Kwenye kila ulicho kitaja hapo juu sidhani kama ilikuwa ni wazo jipya. Zaidi naona tu ilikuwa ni uboreshaji wa vitu ambavyo tayari vilishakuwepo awali hata kama havikuwa fanisi
  4. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    "uumbaji ilikuwa ni udhihirisho wa kile kilichokuwepo tayari" Hicho kilicho kuwepo tayari ndiyo hicho mimi nakitafta kilikuwaga wapi na kilikuwa katika hali gani kabla hakijaumbwa, maana umesema kilikuwa tayari.
  5. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Asante mkuu. Nime note point moja ya msingi "kumjua Mungu kunabaki kuwa fumbo asilia"
  6. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Ndiyo maana sijaamua kulenga wasio amini Mungu kama wewe. Ningeamua kuwa lengo wote ningekuja na thread hapa "Mungu hayupo au yupo" na wewe ungepata side ya kusimama na uthibitisho wako. Nakushauri tu : Kuingiza logic and reasoning kwenye mambo ya imani/kiroho/yasiyoonekana kimwili lazima...
  7. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    SIkuwa na maana hiyo uliyo itafsiri wewe. Biblia inasema "na tumfanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu, kwa mfano wa Mungu aliwaumba mwanamke na mwanamume" Kuna uwezekano Mungu kutuumba binadamu hivi tunavyoonekana leo ni kwa sababu alijiangalia yeye akaona a-design kitu cha kufanana na...
  8. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Ila linaweza kuwa na majibu labda mkuu. Kumbuka kauli hii ya kwenye biblia "na tumfanye mtu kwa mfano wetu na kwa sura yetu, kwa mfano wake Mungu aliwaumba mwanamke na mwanamke" Hii huenda Mungu alijiangalia yeye alivyo ndiyo akatuumba sisi (wanadamu) kwa kujiangalia yeye kama mfano. Je...
  9. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    HIvi unajua maana ya swali kuwa specific ? Kumbe nikupe mfano wa pili : Tanzania ni nchi ya ulimwengu wa tatu, nataka kujua kwanini tanzani ni masikini. Wewe unakuja kwanza kukanusha kuwa tanzania siyo nchi ya ulimwengu wa tatu, hapa swali lazima kwanza lijibiwe na watu walio na mtazamo...
  10. A

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Duuh...kuna ndoto za ulimwengu wa giza zinaniandama sana alafu sijazitaftia solution bado.
  11. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Samahan,labda sikuwa specific. Hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, na siyo wasio amini.
  12. A

    Picha: Daktari gaidi aliyeuawa na Israel

    Yaani Hivi kati ya IDF na HAMAS ni kina nani wanapaswa kupewa sifa ya UGAIDI kwa vitendo vyao ? Sijajua kwanini dunia inaaminishwaga uwongo kuliko uhalisia na inakubali.
  13. A

    Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

    Hivi kwenye mtihani aliyepata alama 100 % na aliyepata alama 81 ‰ si wote wamepata daraja "A", au nakosea ? Na kama kanuni inasema kufaulu ni kuanzia daraja "A" hadi daraja "C" kwa maana hiyo aliyepata "A" na aloyepata "C" wote wamefaulu kwa mujibu kwa kanuni ya ufaulu iliyo pangwa, hakuna...
  14. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Eti wakuu. Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili. Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile. Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na...
Back
Top Bottom