Search results

  1. E

    SoC03 Kipi kinaizuia Serikali kunitangaza kuwa binadamu kivuli?

    Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa mimi ni kiziwi. Askari mgambo hawa wanalazimisha kuzungumza na mimi kwa amri tu kama vile wanaongea...
  2. E

    SoC03 Kupambana na udukuzi kwenye tovuti za taasisi za umma watumishi wazembe wawajibishwe

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kilio juu ya kuwepo kwa udhaifu mkubwa wa kiusalama kwenye tovuti nyingi na mifumo mingine ya TEHAMA ya taasisi za umma. Ni mara nyingi tu yametokea matukio ya mashambulio ya kimtandao na udukuzi kwenye tovuti hizi ambayo yamekuwa yakiliingizia taifa hasara...
  3. E

    SoC03 Hatua za kuchukuliwa ili kumaliza vitendo vya ukatili na vitisho kwa watumishi wa umma vijijini

    Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2007 nilipopata ajira ya kudumu ya ualimu baada ya kuhitimu mafunzo ya astashahada ya ualimu kutoka chuo kimoja maarufu kilichopo wilayani Muleba.Nakumbuka nilipangiwa kufundisha katika shule moja ya msingi iliyopo wilaya moja inayopakana na nchi ya Burundi. Siku...
  4. E

    SoC03 Njia za mawasiliano kwenye tovuti za taasisi za umma ziboreshwe

    Edogun Mzalendo ni kijana wa miaka ishirini na minne, muhitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta na mmiliki wa steshenari ndogo inayopatikana mjini Kahama. Ni miaka miwili tu imepita toka afungue steshenari yake hiyo lakini amejizolea umaarufu mkubwa sana kutokana na kipaji chake cha...
  5. E

    SoC03 Ngoja mimi niendelee kuozea gerezani

    Nakumbuka kipindi chote cha miaka kumi na mitano,nilipokuwa miongoni mwa wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,miswada mingi ya sheria ilipokuwa ikiletwa bungeni tena mingine kwa hati ya dharura, sikutaka kabisa kujihangaisha kuipitia kwa umakini kabla sijashiriki kuipitisha...
  6. E

    SoC03 Sitasahau jinsi bangi ilivyonipa ujasiri wa kuwa mwendawazimu

    Nakumbuka vizuri kuwa ilikuwa ni mwaka 2001 nilipoanza kutumia dawa za kulevya aina ya bangi.Tofauti na watumiaji wengi wa dawa hizi kuanza kuzitumia wakiwa kwenye umri wa balehe ambao kwa wengi huwa ni muda wa kujaribu kila kitu, Mimi nilianza kuvuta bangi nikiwa mtu mzima kabisa, mwenye elimu...
  7. E

    SoC03 Jinsi ujenzi wa ghala la kisasa ulivyosababisha majonzi makubwa kwa wanakijiji

    Ni majonzi makubwa yamekighubika kijiji kizima cha Mukalinze.Wanakijiji wote, wanaume na wanawake ni kama tumepoteza sababu ya kuyafurahia maisha kwa pigo lilokipiga na kukijeruhi vibaya kijiji chetu hiki kikongwe. Kama sasa hivi akifika mgeni ghafla hapa kijijini kwetu,anaweza kufikiria...
Back
Top Bottom