Search results

  1. B

    No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

    Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
  2. B

    Gharama ya kubadili simu (top up) kulingana na pesa ya kununua simu mpya kwa watumiaji wa iPhone ni utapeli

    Kuna hii system ya kuexchange iPhone ama kutop up. Hii watu wanapigwa sana kwani gharama zinakuwa juu mno kuliko inavyotakiwa. Mfano 14 plain kwenda 15 plain ni tzs 1m hii ni bei ya simu mpya kabisa dukani. Huu ni utapeli wa kiwango cha juu mno.
  3. B

    Safari hii naona Lavalava (lovebite) kazingua

    Kwa speed aliyokuja nayo mwaka uliopita basi nilitegemea atoe hit song nyingine kali kuizid beer nyama lakini wapi! Hizi nyimbo zake mbili ni mbovu na hata mixing haikufanyika kwa usahihi. Arudi Tena studio.
  4. B

    Ngoma gani inasumbua Sana mitaa yako kwa sasa?

    Yaani inahit Sana ?
  5. B

    Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

    Habari nikuwa muda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii fulani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi Kati ya msanii na uongozi wa label hiyo. Msanii Anadai hathaminiwi kama wasanii wenzake na kutopewa...
  6. B

    Je, ni kweli Lavalava analala kwenye gari?

    Baada ya lavalava kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha billnas, #beernyama#, dotto magari amakuja juu baada ya msemo wake mpya wa #hapa ipo# kutumika kwenye ngoma hiyo. Kwenye interview aliyofanyiwa na carry story TV. Aliwaponda sana wasanii hao haswa lava lava na kusema kuwa analala...
  7. B

    Diamond ndiyo msanii mvumilivu kuliko wasanii wote duniani?

    Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea. Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya Mbagala. Haikuishia hapo ikawa kila siku vita na wasanii tofauti, media influencer plus ma ex zake...
  8. B

    Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

    1. Diamond Platnumz 2. Alikiba 3. Harmonize 4. Rayvanny 5. Marioo 6. Mbosso 7. Lavalava 8. Whozu 9. Billnas 10. Jux Kubali kataa 2023
  9. B

    Msanii mpya wa wasafi, Diamond alikurupuka!

    Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava. Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc. Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei. Nope hapa mmebugi wazee
  10. B

    Kuna siri gani kwenye mpira wa miguu?

    Dini mbalimbali zinapinga mpira wa miguu na kusema ni satanic. Mpira unahusishwa na freemasonry ambapo logo mbalimbali zimesemwa kuwa na nembo za kishetani ndani yake. Wengine wameenda mbali na kusema mpira ni Ibada na waumini ni mashabiki. Licha ya hili football bado inabaki kuwa mchezo pendwa...
  11. B

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Naomba kufahamishwa kuhusu uuzaji wa simu. Je simu za jumla natoa wapi? Nina mpango wa kuanzisha duka la simu.
  12. B

    Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

    1. Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa password na lock tena cheaply. 2. Data protection. Kila kitu kwenye iphone kiko well secured kwenye...
  13. B

    Kwanini hizi smartphones kila mtu anauza bei yake?

    Kila duka lina bei zake licha ya brand ya simu, specification na storage ya simu kuwa sawa. Mfano iphone 14 pro max 128 Kuna Maduka yanauza 3.2 m mengine 3.0m mengine 2.8 m memgine bei zaidi. Samsung nazo ndo usiseme kila muuzaji huuza bei anayojiskia yeye kwanini?
  14. B

    Si kwa ubaya lakini naona anguko la Harmonize

    Nyimbo anazotoa hazina mvuto tena na hazishiki number one kwenye platform yoyote mpaka boomplay ambayo inaonewa mpaka na maunderground kwa kushika number one trending. Watu wanamkimbia kwenye show. Kondegang ndo hivyo imekufa plus kiki zake ndo hivyo hazihit. Hali ikiendelea hivi basi...
  15. B

    Je, mwisho wa dunia umekaribia?

    Kwa matukio haya yanayoendelea ni dhahiri kuwa mwisho wa dunia unakaribia. Matetemeko yasiyo kadiriwa vita, njaa mafuriko, ugonjwa( Corona ) ambayo imefika dunia nzima. Na Sasa tunaona vita vya israel [emoji1134] vs [emoji1193] vikipamba moto. Huku ikiigawa dunia katika pande mbili. [emoji3584]...
  16. B

    Ni mimi tu au kuna mwingine anaeona kuwa Dar-Moro ni mbali sana kulinganisha na Moro-Dodoma

    Acha na vibao vya kilometers, kwa Experience yangu iwe kwa bus au private car Dar mpaka Moro ni mbali sana kuliko Moro-Dodoma
  17. B

    Fahamu Mapenzi yanavyoongeza nyota kwa wasanii

    Kama wewe ni msanii ama muigizaji na unataka kuwa maarufu basi hakikisha unadate na mtu na kapo yenu iwe public. Yani ijulikane na jamii. Nakwambia utakuw staa mkubwa mpaka utashangaa mwenyewe. Angalia watu wote waliofanikiwa Kisanaa ni wale ambao walipita kwenye relationships kadhaa na...
  18. B

    Naweza kupata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?

    Naweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual? Driving test watanikubalia?
  19. B

    Tafiti: Wanaume huvutiwa zaidi na wanawake Malaya (vicheche ) kuliko wanawake wastaarabu

    Hii ni kutokana kwamba psychologically mwanaume ameumbwa kupenda ngono hivyo huvutiwa zaidi na wanawake wanaoonekana kujua kusex zaidi. So mwanamke Malaya anaonekana kuwa na Experience zaidi ya sex hivyo humfanya avutie zaidi kwa wanaume.
  20. B

    Kaka yake hanitaki kisa mie sio mchaga

    Kuna pisi nilizoeana nayo since last year na tumekuwa nayo very close na tumeshasex kama Mara mbili. Ila cha kushangaza juzi alipita kaka yake akatuona ila hakusema chochote mpaka baadae dem ananiambia kuwa kaka yake amemkataza kuwa na mimi sababu mie sio mchaga. Hii imenikata sana kumbe bado...
Back
Top Bottom