Is it healthy for men to take relationship advice from women?
A reason woman will dump your azz is when she think she is better than you.
Gentlemen the only way to keep her intrested is to act like you are the prize,
Make that woman serve and please you .
Kuwa mwanaume si jambo dogo.
Ilipaswa vijana wapewe somo liongezwe kwenye syllubus.
Kuanzia shule msingi na
Sekondari
Somo liitwe relationship skills
Hao wanaopenda bam bam ni uncivilized dilusional modern sh*t men.
Mkuu uwenda ikawa ni kweli unalosema
Lkn
Binafsi siamini kama kuna mwanaume anataka mwanamke mwenye uzoefu .
Lkn
Naamini wanawake ndio wanataka wanaume wenye uzoefu
Sababu kuu ni hii.
Kwenye mahusiano historia ya mwanaume haina maana
Haijalishi mwanaume ametembea na wanawake wangapi
Wanawake...
Mkuu ni vema ungekaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha hapa.
Mtoa maada yupo sahihi kiroho, kimwili na kiakili katika mada hii.
Mwanaume yeyote nwenye akili timamu hawezi kuishi kwa misingi ya usawa na mwanamke, mtu au kitu chochote kwenye himaya yake.
Uwenda kwasababu
Mabrazameni = undercover simp
Hakuna tatizo kuwa simp.
Shida inakuja pale unapohitajika ku meet demand ya energy inayohitajika na mwanamke .
Thus why!
Unaona anakosa amani na utulivu
Kwasababu anajua upo soo weak rahisi kutekwa na wanawake wengine. . Hebufikiria gold digger...
Hatar noma sana.
Kuna gatekeeper pengine huyu ndiye aliye mfundisha Diddy nakumfikisha hapo alipo anaitwa Clive Davis.
Huyu jamaa ni pimp
Kwanamna moja au nyingine ndio alimpimp diddy kupata mafanikio makubwa kwenye biashara ya muziki na kumpa connection za evil jews wanaomiliki music industry...
Mkuu
Kwa mtazamo wangu
Based on stories from diddy victims and friends
Ni kwamba Diddy ndie aliyekuwa anapakwa mafuta kuliko yeye mnavyomshutumu kuwaingilia wezie.
Sababu ni hizi.
Victim wake wote kwa asilimia kubwa wana act masculine kuliko yeye.
Na yeye sikuzote anawatake advantage kipind...
Binafsi naamini nguzo kuu ni hizi.
1. Feminine
2.Fit
3.Friendly
4.Sexy
You know why?
Mimi naamini kuna utofauti kati ya mvuto na uzuri.
Zingatia
Kuna vitu ambavyo vipo ndani ya uweza wa mtu yaani anauwezo wa kuvicontrol na kuna ambavyo haviwezekani .
Daima huwezi kujudge uzuri wa mtu kwa...
Mkuu kabla sijaleta ubishani.
Ningependa uendelee na utafiti zaidi juu ya usela na utukutu
Pia ustaarabu.
I refuse to take things literally
Hivi mkuu tangu lini wanawake wamekuwa viumbe complicated kiasi cha kuwa wanavutiwa na usela na uchakaramu?
No bro!
No way!
Come on bro!
Hakuna...
Kupata ushidi walau mmoja katika hizo mechi mkuu ni jambo la kushukuru.
Sina imani na midfield ya partey na jognho. Tuta strugle zidi ya spurs kama tutaingia hivi.
Kama timber yuko fit amalize 8 , calafiori Lb
Safu ya ushambuliji kuanzia sasa awe anafanya rotation
Yaani...
Bukayo saka ameonyesha matuarity,
Goli kama lile mara chache sana kufungwa na watoto wadogo .
Hiki kitu mimi kili ni impress
Pia angalau sub zikifanyika unaona hata wapinzani wanajipanga upya
Kwaiyo tuna uhakika wa points 6.
Hizo mechi za villa na city mkuu tukicheza kama tulivyocheza na...
Tutaondoka na point 6
Zikizidi hapo ni bahati kudondokea upande wetu.
Kwasababu timu mwanzoni mwa msimu zinakuwa kwenye tension na pressure
Refer mechi yetu yakwanza na wolves bado hatuna rythm kweny uchezaji nikama tumesahau tulipoishia
Ndio maana nilikubaliana na wewe uliposema after 3 matches...
Hii ni kada inayofanya kazi kwa misingi ya uongo na vitisho.
Kada zote zinazohusiana na sirikili zinafanya kazi kwa misingi ya uongo.
Zingatia
Huwa wanakuwa brainwashed kwA miezi yakutosha wanaita mafunzo ya ukakamavu.
Niseme hii ni kada iliyojaa watu ambao hawajamaster course ya kudanganya...
Tatizo ni mfumo
Pia tatizo letu kubwa ni kutokukubaliana na ukweli.
Ni ukweli kwamba yatupasa tubadilike tuishi kulingana wakati tulionao sasa.
Mfumo wa elimu hii ni wakitumwa
Unatuandaa tujekuwa watumwa watiifu.
Mtumwa mtiifu ataendelea kupeleka watoto shule kama vile ambavyo slave masters...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.