Mvuto wa Mwanamke una Unabebwa na Nguzo Zipi Muhimu?

Katika hisia za mapenzi na mvuto wa mahaba wanawake wana vitu vyao ambavyo ni nguzo kwa mvuto wao.

1.1 Sura (nzuri au mbovu)
2. Rangi. (Mtume au jehanamu)
3. Harufu (kunukia au kunukia)
4. Kifua (Dodo au Lahaula la kwata)
5. Nywele ( Malaika au Kibwengo)
6. Original look au artificial saana?
7. Kucha (Malaika au shetani)
8. Mwendo (Baby au Mcharuko)
9. Mdomo (Kijiko au Koleo)
1.2 Mavazi ( Mcharuko, local, moderate, super)
10. Lafudhi ( too local au reformed)
11. Tumbo ( Tumbotumbo au Flat)
12. Vidole viganjani, size ya mguu na vidole vyake.

Mtaongezea mengine

Kichwamoto
Kwangu mimi napenda mwanamke ambae ana sura nzuri,mweupe,shepu ya kawaida inayovutia (sipendi makalio makubwa sana) lugha nzuri, kifuani pawe sio kama vitunguu pawe panaeleweeka yaani saizi ya kati (sio kama ndala) mguu usiwe wa bia napenda mguu ukae mtindo wa chupa
 
Katika hisia za mapenzi na mvuto wa mahaba wanawake wana vitu vyao ambavyo ni nguzo kwa mvuto wao.

1.1 Sura (nzuri au mbovu)
2. Rangi. (Mtume au jehanamu)
3. Harufu (kunukia au kunukia)
4. Kifua (Dodo au Lahaula la kwata)
5. Nywele ( Malaika au Kibwengo)
6. Original look au artificial saana?
7. Kucha (Malaika au shetani)
8. Mwendo (Baby au Mcharuko)
9. Mdomo (Kijiko au Koleo)
1.2 Mavazi ( Mcharuko, local, moderate, super)
10. Lafudhi ( too local au reformed)
11. Tumbo ( Tumbotumbo au Flat)
12. Vidole viganjani, size ya mguu na vidole vyake.

Mtaongezea mengine

Kichwamoto
Binafsi naamini nguzo kuu ni hizi.

1. Feminine
2.Fit
3.Friendly
4.Sexy

You know why?

Mimi naamini kuna utofauti kati ya mvuto na uzuri.

Zingatia
Kuna vitu ambavyo vipo ndani ya uweza wa mtu yaani anauwezo wa kuvicontrol na kuna ambavyo haviwezekani .

Daima huwezi kujudge uzuri wa mtu kwa kuzingatia vigezo ambavyo yeye binafsi hawezi kuvicontrol kwasababu hakuna standard ya uzuri yakuweza kumshindanisha mtu na mtu.

Najaribu kusema hivi
Kila kiumbe kikiwa kwenye default God mode ni kizuri na kinamvuto.

Thus why wanyama wengi ni wazuri.

Let me be real with you.
If you are fat or super skinny,nigger yo ugly.
Na kwann uwe out of shape ???

Wakati mwingine ni uchizi au sijui kutojitambua au sijui niitaje?

Ngoja nikuulize?
Hivi
How come a woman with a fat out of propotion a*s(madako makomi) looks attractive to you.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom