Search results

  1. M

    SoC03 Mfumo wa kukutanisha wawekezaji na wabunifu kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)

    Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu lakini yamelala, wala hayatambuliki duniani, na unaweza kudhani hayapo kabisa. Sababu zinazopelekea...
  2. M

    SoC03 Straika wa timu yetu ya mpira wa miguu ni kama Mayele au Baleke

    Mara zote mshindi mtarajiwa wa shindano la 'stories of change' huwa anafahamika. Na mshindi huyo huwa habadiliki hata mara moja, labda kwa mtu asiye na macho ya rohoni. Sifa zake ni rahisi tu, anapaswa kukamilisha kazi ya shindano kama alivyoipokea. Na kufahamika kwa mshindi huyo ndio sababu ya...
  3. M

    SoC03 Tanzania: Katiba Mpya sio 'Tatizo', Viongozi wetu wanapatikanaje?!

    Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa watu hao kwenye kuchambua ubora wa kiongozi wanayemtaka. Viongozi wengi wanaofanikiwa kuingia...
  4. M

    Shairi la Simba vs Yanga (29/09/2018)

    WATANI WANA MAMBO Jumapili yawadia,Ya watani kuumana Tamati zitafikia,Zile tambo za Mabwana Mana tumezisikia,Tokea kitambo sana Hakika litasimama, Jiji la Darisalama. Huku mkongo Zahera, Na kule Mbelgiji Maombaomba wa hela, Na matajiri wa jiji Kweli Moro ndo mpira, Uturuki ka kimbiji? Hakika...
  5. M

    Shairi la Simba vs Yanga (29/09/2018)

    WATANI WANA MAMBO Jumapili yawadia,Ya watani kuumana Tamati zitafikia,Zile tambo za Mabwana Mana tumezisikia,Tokea kitambo sana Hakika litasimama, Jiji la Darisalama. Huku mkongo Zahera, Na kule Mbelgiji Maombaomba wa hela, Na matajiri wa jiji Kweli Moro ndo mpira, Uturuki ka kimbiji...
  6. M

    Post any fantastic photo of a Tanzanian flag

    Post any fantastic photo of a Tanzanian flag
  7. M

    Tanzanian flag

    The flag of our beloved country
  8. M

    Dear graduates, dear freshers

    DEAR GRADUATES, DEAR FRESHERS Dear Graduates, Dear Freshers, God has made it, Among the great failures, You recieved his blessings. Really streets are tough, But God is all-knowing Just trust him above, He will pour much blessings And if you trust the Lord, He will ease the hustlings. But...
Back
Top Bottom