Search results

  1. Ederra

    Pisi za maana Moshi

    Acha tumtajie tu kabisa dawa maarufu huenda itamsaidia. AZUMA.
  2. Ederra

    Wimbo wa Fally Ipupa 'Mayday'

    Elewa tu tangu nifike kwenye uso wa dunia sijawahi kusikia wimbo mtamu kama Mayday. Iwe nimezaliwa 1914, 1805, 2019, 1280, 1993, 1987,1667,80BC,2022 au mwaka wowote; Sijawahi kusikia wimbo mtamu kama Mayday.
  3. Ederra

    Wimbo wa Fally Ipupa 'Mayday'

    TANGU NIFIKE KWENYE USO WA DUNIA SIJAWAHI KUSIKIA WIMBO MTAMU KAMA MAYDAY.
  4. Ederra

    Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Ni wapumbavu tu wanaweza kuvutwa kwenye upuuzi wa Forex wakiamini kuna utajiri. Mtu anakwambia Forex ina utajiri mkubwa sana halafu hapo hapo anatoa mafunzo kwa kuchaji vijipesa. Huo muda wa kufundisha watu kwanini asiuwekeze kwenye kutrade yeye mwenyewe awe Bilionea? Ila wapumbavu hawaishi...
  5. Ederra

    Maisha yanaenda kasi sana leo Sport Extra ya clouds ni kama enzi za RTD

    Wasafi na EFM wameondoa utawala wao kwenye vipindi. Na kule kwenye kuamua nani ang'ae kwenye muziki Diamond amewashughulikia ipasavyo na kuwamaliza. Hakika nguvu zina wakati.
  6. Ederra

    Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Ili uwe rais wa Zanzibar ni lazima uwe Mzanzibari. Asilimia zaidi ya 95 ya wazanzibari ni Waislamu. Sasa uwezekano wa kupata Mkristo awe rais ni asilimia ngapi?
  7. Ederra

    Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru Hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM!

    Mkapa alikuwa na moyo mzuri sana wa kuwajali vijana wasio na uwezo wa kujilipia ada lakini wenye nia ya kujiendeleza kitaaluma. Mungu amlaze mahali pema.
  8. Ederra

    Vikaragosi vya AI vinaua ubunifu wa sanaa ya uchoraji na havina mafunzo

    Hakuna teknolojia yoyote inayoanza bila kasoro. Hizi zitarekebishwa zote na baada ya miaka kadhaa utajionea. AI inakwenda kufanya mapinduzi makubwa mno kwenye karibu shughuli zote za binadamu. Sio kwenye uchoraji tu.
  9. Ederra

    Gekul amepata nafasi ya kusikilizwa?

    Kwani amefungwa jela? Ametozwa faini? Maamuzi ya kutengua uteuzi kwenye nafasi ya kuteuliwa hayana uhitaji wa lazima wa kumpa mteule nafasi ya kusikilizwa kabla ya kutengua uteuzi.
  10. Ederra

    Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

    Ukishindwa kulipa kuna mahali mkopeshaji anaweza kwenda kuviuza ili apate pesa yake? Na unasema hujakata tamaa kuhusu ajira; Kwa hiyo siku ukiitwa kwenye interview ambapo huwa wanataka uende na vyeti vyako halisi utavipataje ikiwa bado hujamaliza deni?
  11. Ederra

    Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Yani ili upinge wizi unatakiwa kuhakikisha kuwa hakuna muumini wako aliye mwizi.?
  12. Ederra

    Hawa vijana wanaovimba mtandaoni kwa maburungutu ya milioni 40 ni washamba wa pesa, Ili uvimbe kama don walau uringishie milioni 200

    Ukivimbia milioni 250 pia wapo watakokwambia hiyo sio ya kuvimbia. Watasema uwe na angalau milioni 700. Ukiwa na hiyo pia kuna watu watakuona hautoshi kuvimba eti tafuta angalau bilioni 2. Kimsingi hata ukiamua kuvimba na 35,000 (elfu thelathini na tano) ni uamuzi wako. Ni kama tu swala la...
  13. Ederra

    Badala ya kushughulika na elimu inavyoharibiwa shule binafsi, unashughulika na nyimbo za Zuchu ili nawe uonekane unafanya kazi!

    Kuna mambo hutakiwi kuachia market forces za demand and supply ziyaamue. Some vulnerable groups must be protected by law and policy.
  14. Ederra

    Sifa za husband material

    Ni mwanaume mpumbavu tu anaweza kuwa na sifa hizo zote. Na ni mwanamke mbinafsi tu na asiyejua kutafuta pesa atahitaji sifa zote hizo kwa mwanaume. Kaka zangu amkeni.
  15. Ederra

    Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Ushauri Simba SC

    Kwa kweli vyombo mamlaka vimekuwa vingi kwenye klabu zetu. Tatizo ni kubwa ni kwamba wazee wanaogopwa. Kwamba wasipopewa fursa wanakinukisha. Kama tayari una bodi na menejimenti; Baraza la ushauri lenye wajumbe 21 ni la kazi gani? Wazee wanachangia kurudisha nyuma hizi timu.
  16. Ederra

    Mikoa 10 Yenye Visimbuzi (Decider TV Subscriptions) Vingi Tanzania. Mkoa wa Songwe Unaburuza Mkia

    Weka na data za idadi ya watu waliomo katika kila mkoa tulinganishe kwa uwiano.
  17. Ederra

    Hawa ndio wasanii wa Tanzania wenye hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki. Nani kasahaulika?

    Nilichoelewa mimi wengi aliowataja hapo ni kama wamesimama, kuacha muziki ama kuacha kuutegemea muziki na kuamua kufanya mambo mengine badala yake. Ndio maana hajamuweka Diamond na wengine kama huyo. Na kuhusu huyo Nikki wa Pili sio kwamba kwenye muziki anashindwa kuingiza pesa anayopata...
  18. Ederra

    Dunia hakika ina mambo. Tumekutana na mganga ambaye sharti lake uitikie 'beeee' kila akikuita!

    Poleni kwa matatizo. Lakini naona dalili kuwa mnaweza kupakwa wese huko. Nawashauri mtafute mtaalamu mwingine.
  19. Ederra

    Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

    Mimi sio mtaalamu wa afya. Lakini nadhani lita tano ni nyingi mno. Ila lita moja nayo ni kiasi kidogo mno unless uwe kwenye mikoa yenye baridi ambapo mwili wako unakuwa haupotezi maji mengi kwa jasho. Kunywa lita 2 mpaka 3.
  20. Ederra

    Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Mahakama hailazimiki kufuata ushahidi wa kitaalamu (mfano ripoti ya daktari kuhusu utimamu wa akili wa mtuhumiwa). Daktari anaweza kusema mtuhumiwa ana tatizo la akili lakini mahakama ikamtia hatiani kulingana na mazingira aliyotenda kosa hilo iwapo yanaonesha alikuwa anajua anachokifanya.
Back
Top Bottom