johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 92,663
- 161,502
- Thread starter
- #101
Akiwa anasoma Shule ya SerikaliJe, Wakati Zitto Kabwe akiwa tayari Mbunge wa JMT au kabla ya kuwa Mbunge???!??
Tuanzie hapa Kwanza.
Akiwa anasoma Shule ya SerikaliJe, Wakati Zitto Kabwe akiwa tayari Mbunge wa JMT au kabla ya kuwa Mbunge???!??
Tuanzie hapa Kwanza.
Mamaaatumekwisha kumbe kuna Sheria hiii!!!!Ndiyo maana bunge lilipitisha sheria ili kuwalipa mshahara wake wa viongozi na ikiwapendeza wawalipe na watoto pia ili wasikose Ada UDOM
Hii ni aibu ya Karne yake Ridhiwani Kikwete na Baba yake mzazi Raisi Mstaafu Kikwete na iiingizwe Kwenye kitabu Cha kuvunja record za Dunia Guinness Book of Records kuwa mbunge na mtoto wa Raisi Msataafu alisoma Kwa kusaidia
Hivi huyo Ridhiwani baba yake mzazi ni Mkapa au Kikwete tuanzie hapo Mkapa alimsomesha kama nani ? Mama wa Kichaga Anna Mkapa na Raisi Msataafu Kikwete njooni mjibu humu hii kesi.
Sasa hapo cha kushangaa ni nn ?Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM kwa masomo ya Masters ambapo ametunukiwa Shahada hiyo jana na mh Mizengo Pinda
Ridhiwani Kikwete amesema Mkapa ndiye aliyemshawishi kusoma Shahada hiyo ya Diplomasia na kana Kwamba haitoshi alimlipia na Ada kabisa Hapo Ridhiwani Kikwete alikuwa ni Mbunge wa Chalinze tayari
Source: Mwananchi
Huyo tulisoma nae Masters udsm sema aliishia njiani akarudi chalinze kwenda kugombeo ubunge kwao. Wakati huo kuna mbunge simkumbuki jina alifariki. Jamaa akagombea akashindaNaibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM kwa masomo ya Masters ambapo ametunukiwa Shahada hiyo jana na mh Mizengo Pinda
Ridhiwani Kikwete amesema Mkapa ndiye aliyemshawishi kusoma Shahada hiyo ya Diplomasia na kana Kwamba haitoshi alimlipia na Ada kabisa Hapo Ridhiwani Kikwete alikuwa ni Mbunge wa Chalinze tayari
Source: Mwananchi
We jamaa ni futuhi kuliko lizimoko. Nimecheka mno aisee. Naibu alikuwa akiliaNa wakati akisema hayo Naibu Waziri alikua akitokwa na machozi huku akisema alitamani sana kusoma lakini hakua na uwezo wa kujilipia ada
Sio vibaya hata, ni sawa na mtu akulipie nauli kwenye basi, wakati na wewe unayo nauli yako.Kasoma akiwa mbunge kalipiwa akiwa mbunge
We unamuamini huyu Naibu ?Mkapa alifariki 2020, kwa hiyo mwamba kasoma masters ya yuudom miaka 4+?
We umeiweka vzr sanaHuyo tulisoma nae Masters udsm sema aliishia njiani akarudi chalinze kwenda kugombeo ubunge kwao. Wakati huo kuna mbunge simkumbuki jina alifariki. Jamaa akagombea akashinda
Mtoto wa Mkulima huyo, angepata wapi pesa ya kulipia masters kukosa Mkapa sijui ingekuwaje!!Mmhh!
Anataka kusema kwamba yeye mwenyewe hakuwa na uwezo wa kulipa hiyo ada au?