Search results

  1. M

    Wasomi wa CHADEMA okoeni chama chenu dhidi ya uhuni huu

    Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa makusudi hawafanyi lolote zaidi ya maandamano. Hii si mara ya kwanza, kila unapokaribia uchaguzi ndani...
  2. M

    Yaliyojificha nyuma ya pazia maandamano ya CHADEMA Januari 24

    Dr. Sisimizi Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024. Kikao hicho kinachoendelea muda huu kinaongozwa na Katibu John Mnyika...
  3. M

    Watanzania Waipuuze Chadema, Msajili aifungie Chadema kwa kuleta vurugu

    Na Dr. Sisimizi Imekua kawaida sasa kwa Chadema kupiga mikwara ya Sisimizi kwa Tembo ya kutishia kufanya maandamano ilihali miaka yote hawajawahi kufanikiwa sababu ya kukosa ushawishi na uungwaji mkono. Mwaka 2015 baada ya Uchaguzi Mkuu, Chadema walitishia kuitisha maandamano, ili kupinga...
  4. M

    Propaganda za Bolleni Ngeti na ukweli juu ya suala la umeme nchini

    Na Mwl Udadis, Dsm CBD Moja ya sifa kuu ya kiongozi bora wa nchi ni kutatua matatizo kwa kuleta suluhu ya kudumu, wazungu wanaita "sustainable solutions", kwa bahati mbaya akili ndogo huhitaji muda mrefu kung'amua tija ya SULUHU za namna hii. Mdogo wangu Bolleni Ngeti kwa makusudi ameamua...
  5. M

    Wizi wa michango CHADEMA unakwamisha mikutano iliyopangwa

    Na Charles Heche Waswahili wanasema siku za mwizi ni arobaini, bila kupepesa macho naona siku za Freeman Mbowe ndani ya Chadema zinahesabika kutokana na ubadhirifu ambao umefanywa bila huruma. Usijiulize kwanini nimemtaja Mwenyekiti wakati viongozi wako wengi, huyu kuna ushahidi mwingi na...
  6. M

    Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 30 ya CWT yaahirishwa

    Kama mwanafasihi, mwanafalsafa, mwanasaiklojia, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nimesikiliza kwa makini sana hii hotuba ya rais wetu ndugu yangu na mama yangu Leah Ulaya nimegundua yafuayayo: Mosi, ni dhahiri shahiri kuwa mtu mmoja hawezi kussababisha Serikali yetu pendwa kulipiza...
  7. M

    Mambo yaliyofanywa na serikali, katika kukabiliana na maafa ya Hanang

    ● Serikali Imewaokoa Watanzania 117 na waliopewa huduma bure za matibabu kupitia gharama iliyobebwa na Rais Samia. ● Serikali imegharamia mazishi ya Watanzania 79 waliofariki kwenye maafa ya Hanang. ● Serikali inaendelea na zoezi la kutafuta miili ya watanzania wengine walioathirika na maafa...
  8. M

    Washirika wa Japhet Maganga baada ya kula bata Morogoro na Zanzibar sasa ni Mwanza kisha Dubai

    Kufuatia utafutaji wa uungwaji mkono ndani ya Chama cha Walimu Tanzania, Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Japhet Maganga analaumiwa kwa matumizi mabaya ya fedha za wanachama wa chama hicho katika juhudi za kuwalaghai viongozi ambo wengi wao ni wajumbe katika vikao vya maamuzi ya chama cha...
  9. M

    Hoja za mwalimu aliyeomba kusitishwa kwa sherehe za walimu Disemba 13, ambazo zinatumia bilioni 7

    ● Tarehe ya maadhimisho ya Siku ya Mwalimu duniani ni tarehe 05 Oktoba, ambapo duniani kote iliadhimishwa na Chama cha Walimu Tanzania ikiwa ni sehemu ya Wataalam na wasomi kufanya maadhimisho tofauti na siku maalum iliyopitishwa kimataifa ni kuitweza taaluma ya ualimu. ● Kiwango kikubwa cha...
  10. M

    Japhet Maganga mwizi aliyeiba meno Chama Cha Walimu

    Mwaka huu Chama cha Walimu (CWT) kikiwa kinatimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kimekosa mdomo sahihi wa kuwasemea na kuwasaidia walimu wake sababu tu ya uongozi mbovu unaowanufaisha watu wachache ambao wanaongozwa na Japhet Maganga. Tangu awe Katibu Mkuu wa CWT Japhet Maganga ameshindwa...
  11. M

    Maganga wa CWT amethibitisha kwa matendo yake kuwa hana uwezo wa kushughulikia shida za wanachama

    [emoji298]Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia kikamilifu shida za wanachama na kusimamia madhumuni ya kuanzishwa kwa chama chetu. Badala yake amekuwa ni mtu wa kukimbikimbia huku na huko kuhonga na kujinasua kwenya majanga aliyoyatengeneza yeye...
  12. M

    Imetosha; Utapeli wa Maganga ndani ya CWT unatisha, achukuliwe hatua

    Na Mwalimu Udadis, Tarime Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya walimu nchini ambao kimsingi ni wanachama wa CWT. Mojawapo ya vitendo...
  13. M

    Ni heshima kwa Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wa wakuu wa nchi Afrika Mashariki

    Leo ndo ile siku imewadia ambapo Mkutano wa Wakuu wa Nchi Afrika Mashariki wa siku mbili utaanza huko Jijini Arusha ambao awali ulipaswa nchini Burundi, kura imeiangukia Tanzania ambayo imetajwa kung’ara katika Masuala ya Diplomasia za Kimataifa. Ni wazi kuwa kwa Afrika Mashariki Tanzani...
  14. M

    Kuwaunga mkono wanaounga mkono michezo si kutumika kisiasa

    Watanzania wenzangu poleni na matokeo ya jana lakini pia tujipongeze hata kidogo kwa kuendelea kuipa nguvu timu yetu ya taifa. Ifike sehemu tukubali kwamba kuna hatua flani tumepiga hasa kwenye pitch tofauti na huko tulipotoka yaani kwa mechi ya jana pamoja na mapungufu yote yaliyoonekana...
  15. M

    Tuwaunge mkono wadau wa michezo, tusiwapige vita

    Nchi hii ilipotoka kwenye michezo kila mmoja anajua kama mtu wa michezo na kama anafuatilia michezo. Tulikuwa tuna changamoto nyingi Sana Katika michezo viwanja ,usafiri na miundombinu kwa ujumla. Tulikuwa tunapaza sauti usiku na mchana WADAU WA maendeleo waje kutuunga mkono Katika kukuza...
  16. M

    Chadema's Decline: A Closer Look at Freeman Mbowe's Leadership

    Once a prominent opposition party in Tanzania, Chadema is losing its popularity. The long-serving chairperson, Freeman Mbowe, is still being criticized for his lavish lifestyle, while the party's headquarters are ramshackled with old buildings, and rallies have failed due to insufficient funds...
  17. M

    World Bank: Tanzania kinara wa Dunia upelekaji maji vijijini, yaongeza Dola Milioni 300

    Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Dkt. Victoria Kwakwa ameitaja na ameipongeza Tanzania kuwa kinara na mfano katika utekelezaji wa programu ya uendelevu wa huduma ya maji na usafi wa mazingira vijijini Mashariki na Kusini mwa Afrika na Duniani kwa kutumumia...
  18. M

    CHADEMA imekufa au viongozi wamesusiwa kuiongoza?

    Ameandika Dr. Sisimizi Bado viongozi wa Chadema wameendelea kuwashangaza wanachama wao na hasa hatua yao ya kusitisha Oparesheni za chama walizokua wakizifanya kwa kutaja sababu ya uongo kuwa walisubiri darasa la 4 wamalize mtihani wa taifa na wakati licha ya wanafunzi kumaliza mtihani, bado...
  19. M

    Rais Samia aweka historia nyingine ndani ya miezi mitatu ya kuvutia uwekezaji

    Na Mwl Udadis, DSM-CBD Kipimo cha mafanikio ni matokeo ya kile unachokusudia kifanyike. Kuna wakati baadhi yetu tulihoji ni wakati gani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anapumzika? na hii ilitokana na ziara zake za kitaifa na kimataifa hasa zile zinazolenga...
  20. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
Back
Top Bottom