Habari gani wakuu.
Ninauza jiko la kuchomea nyama ni mpya kabisa. Unaweza kuchomea nyama ya ng'ombe, mbuzi au kuku. Linafaa kwa mgahawani, bar au hata barabarani kwasababu linabebeka.
Bei yake ni Tsh 140,000 mazungumzo yapo !!
Nicheki WhatsApp: 0683535699
Inategemea na aina ya content unazoweka, mfano mwanamke ambaye anapenda kupika kila siku anaweza kurekodi video moja na kupost baada ya muda lazima itamletea matunda ....
Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin !
Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje?
Na hizo njia walizotumia kujikwamua ni siri kiasi kwamba sisi hatuwezi kufuata?, ikanibidi nitafute...
Habari za mchana wakuu, natumai hamjambo kabisa na mnaendelea katika harakati za kusaka mkate na kwa wale wanaugua Mungu awaponye kwa uwezo wake tuseme Amin !!
Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye karibia kila baada ya dakika 5 lazima nizame kwenye deep thinking kuhusu kitu chochote ( positive...
Habarini za Asubuhi wakuu.
Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana.
Model: TVS 125
Plate number: DQF
Bei yake: 2,000,000 Fixed
Nicheki WhatsApp: 0683535699
NB: Nimekosea kwenye headline siyo Boxer ni TVS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.