Search results

  1. Tinito van Mourdinho

    Je, Watanzania tunamtaka Tundu Lissu agombee Urais?

    Unatjmia kinywaji gani mzee maana so maneno kuntu haya
  2. Tinito van Mourdinho

    Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

    Kwahapa inavyoonekana ni kuwa ACT watanufanika zaidi kwa Membe kuliko yeye atakavyofaidi kwa chama Zitto anaangalia miaka ijayo tena uchaguzi wa 2025 au 2030 ACT hakitokuwa kama kilivyokuwa hivi sasa
  3. Tinito van Mourdinho

    A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

    Ulipofeli mwandish ni kama una ka ubias flan hivi hasa ulipooelezea kuhusu masheikh na kuwaita "Uchwara" na wapuuzi unajua kama haujawandendea haki Mola akusameh kwa hilo.
  4. Tinito van Mourdinho

    Kifahamu kisa cha Giuseppe Veraldi

    Hiki kisa kinafanana sana na mwenye kitabu cha HIS EXCELLENCE HEAD OF STATE
  5. Tinito van Mourdinho

    Dr. Ben Carson: Msoto mpaka kuwa Daktari bingwa

    Aisee historian yake inatamanisha sana kwa kweli yeye na kaka yake
  6. Tinito van Mourdinho

    ''Wacheza bao, wavaa kobasi waliokuwa na ilmu akhera'' na wasifu wa Julius Nyerere

    Wewe sijui upo dunia ya wapi? Umeelewa lakini alichoandika mwandishi?
  7. Tinito van Mourdinho

    ''Wacheza bao, wavaa kobasi waliokuwa na ilmu akhera'' na wasifu wa Julius Nyerere

    Mbona unaongea kama MTU mfu? Kwabhiyo kama wakoloni wangekuwa waislam (angalau uislam hakuna mambo mabaya) wangekuwa wanatawaliwa tu kisa dini moja?
  8. Tinito van Mourdinho

    Iddi Amin kiongozi bora kuwahi kutokea Afrika

    Umewasoma vizuri au ndio umefuata mkumbo wa hisia za watu tu? Kaka chini SOMA ujue yaliyojificha
  9. Tinito van Mourdinho

    Khitma ya Saigon club ya Iddi Simba msikiti wa Mtoro

    Kwani kipi kibaya alichokisema hapa mwandishi? Acha kuleta udini ila ukitaka history sana ya nchi hii katika kutetea Uhuru wetu wallah!! Waislam walijitoa 100%
  10. Tinito van Mourdinho

    Iddi Amin kiongozi bora kuwahi kutokea Afrika

    Acha ujinga kwa Acha ujinga kwani Libya imejaa misikiti mpaka sasa?
  11. Tinito van Mourdinho

    Uchambuzi wa kitabu cha My Life kilichoandikwa na Bill Clinton

    Sema Mkuu katika tukio moja ambalo tunapaswa kulitambua ni kwamba Chelsea si mtoto halali wa Mwana mama hilary Clinton bali alizaa na mhudumu wa ikulu pale Washington D.C.
  12. Tinito van Mourdinho

    World Military Geniuses Of All Time

    Einsteinhower huyu ndio aliyekuja kuwa Rais wa USA au mwingine?
  13. Tinito van Mourdinho

    Makaratasi ya uchochezi dhidi ya Serikali

    Hii familia ya kina Sykes ingepaswa kuwa "Royal family" hapa bongo kuliko zote lakini tuseme tu alipangalo mola.......!!!
  14. Tinito van Mourdinho

    Wakili Musa Kwikima (1939 – 2020) Katibu Tume ya Waislam ya Mgogoro wa EAMWS, 1968

    Mashaaah Mzee katika vitu ambavyo tunapindishwa nchini humu ni historia ya Tanganyika imefinywa sana Jazakhallah Ntakitafuta kitabu chako sheikh
  15. Tinito van Mourdinho

    Historia/shujaa: Josina Machel

    Amefanya makubwa kuliko umri wake!! Hakika wanawake hawa hawazaliwi tena sasa!
  16. Tinito van Mourdinho

    Cross-Examination Mahakamani

    Wenyewe wanasema wamechomoa dakika za jioni kabisa mtoto wa Mpinzani mkuu alikuwa na Corona sasa mtoto wa no 1 nae amekutwa nao ila kapona kwa nyungu na malimao ila yule wa "disco" hajatangaza hii!!
  17. Tinito van Mourdinho

    Nadharia 4 kuhusu kisa cha Mdude na dawa za kulevya

    Hii sinema ilitengenezwa ikatengenezeka aisee!!
  18. Tinito van Mourdinho

    Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu

    Ina maana chuo kiliitwa jina la huyu Lumumba aliyeuliwa na wabelgiji mwaka 1960 Kongo? Na kama ndio how comes kikaitwa jina lake?
  19. Tinito van Mourdinho

    Siku ya Vitabu duniani

    Hakika napenda sana kusoma vitabu shukran mzee kwa kumbukumbu iliyotukuka.
Back
Top Bottom