Search results

  1. Jaji Mfawidhi

    Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
  2. Jaji Mfawidhi

    Mwijaku ni mpagani aliyekwenda Hijja!

    Mwijaku kaenda Mpaka Makka ila bado anafuga Mbwa, hajui kuwa ni Haramu kwa Muslims kufuga Mbwa..!! Waislamu hatufugi mbwa, mbwa ni haram tumewaachia Makafiri ndio wafuge! Mbwa akikunusa ama kukulamba unapaswa unawe mara saba.
  3. Jaji Mfawidhi

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma. Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita. Hawa...
  4. Jaji Mfawidhi

    SoC04 Mzazi Mwanao Mlee hivi, miaka 21 tu anakuwa CEO!

    1. Unawapikia chakula chao ili wasome na kufurahia. 2. Unawasaidia kufua nguo zao na kupanga vyumba vyao. 3. Unawaacha shuleni kila siku peke yako! 4. Unadanganya kwa niaba yao ili kuwatoa kwenye matatizo. 5. Unapanga "expo" ili kuwasaidia kufaulu mitihani yao. 6. Unawalinda na kila hatari...
  5. Jaji Mfawidhi

    Kufika 2025 petroli lita itakuwa 7,000/=?

    Tusitegemee mafuta kushuka, bunge la bajeti ni bunge la kuongeza kodi, Tutegemee kuongezeka kwa kodi , huku bei za mafuta kupanda, sasa mwezi huu wa saba, na mwakani mwezi wa saba mafuta yatafika 7000. Stay tune.
  6. Jaji Mfawidhi

    Mei Mosi ni faida au hasara kwa Taifa?

    Sikukuu ya Mei Mosi, inayojulikana pia kama Siku ya Wafanyakazi Duniani, inaadhimishwa kwa kusherehekea mchango wa wafanyakazi katika kujenga jamii na kuboresha hali zao za kazi. Sikukuu hii ina historia ndefu ya kutetea haki za wafanyakazi na kuimarisha mazingira ya kufanya kazi, na imekuwa...
  7. Jaji Mfawidhi

    Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    New Year Mapinduzi Karume Day Muungano Day Mei Mosi Saba Saba Nane Nane Day Nyerere Day Christmas Day Boxing Day Good Friday Easter Monday Eid El Fitr[Shehe atavyoamua kutangaza] Mauli day id El Hajji[siku mbili] Mapinduzi Uhuru ZIJAZO 1. Magufuli Day. 2. Mama Day SIKUKUU ZA WANAOTUKOPESHA...
  8. Jaji Mfawidhi

    Dada ukimpenda mwanaume, Unafanyaje akutongoze?

    Hongereni kwa wiki mpya na poleni kwa msiba wa Gardner, mtu wa watu hajitangazi ila watu ndio wanamtangaza uzuri wake, Mchaga wa watu kaacha mtoto na mke, na mtalaka wake Lady Jay Dee. Ulimwengu umekuwa kama kijiji, sasa, je iwapo mwanamke atakuwa amemwomba Mungu ampe mpenzi, na akapata amani...
  9. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia

    “Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amewataka Watanzania wote popote walipo kutumia hashtag ya ‘Nasimama na Mama’...
  10. Jaji Mfawidhi

    Je, unaweza kuajiri CEO na Wakurugenzi toka mashirika haya?

    DODOMA: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amefanya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2022-23 na kuorodhesha mashirika 99 ambayo yanadaiwa zaidi ya Sh trilioni 3.49. Je, kama Mtu ni mkurugenzi kwenye hili shirika, amekaa hapo miaka 10 na...
  11. Jaji Mfawidhi

    Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa iwe #NyerereDay Archive: Siku ya leo ndio ingefaa kuwa Nyerere Day au ile ya Mwezi wa kumi? Je, siku...
  12. Jaji Mfawidhi

    Shida ya kushika mimba na jinsi unavyoweza kutatua tatizo hilo kwa kutumia lishe

    1. Tunaendelea kudodosa yaliyomo kwenye kitachu Eating to Conceive by Lisa Olson. 2. Kazi yangu ni kufanya tafiti na kuwasilisha majibu kwa lugha tunayoishi nayo kila siku. Lengo tuelewe, tusikariri! Sitakagi mambo mengi. Tuendelee. Kanuni ya Pili: Kula Complex Carbohydrate na nafaka kwa...
  13. Jaji Mfawidhi

    KERO Daladala zinakatisha njia na hakuna anayejali!

    Nazungumzia daladala za Dar es Salaam. Kihistoria mpaka mwaka 1983 hakukuwa na mabasi ya abiria yaliyokuwa yakiitwa ‘daladala.’ Jina hili ‘daladala’ lilianza kutumika mwaka 1983. Mwaka 1983 Dar es Salaam ilikuwa na magari machache ya abiria. Watu wengi wakawa wanachelewa kufika sehemu zao za...
  14. Jaji Mfawidhi

    Je, trafiki chanzo cha ajali? Busta zipigwe marufuku? Elfu 3 kila Daladala zinafanya gari kuwa zima? IGP, Ramadhani Ng'anzi anajua?

    Hii ajali imetokea tarehe 11-4-2024 Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa na trafick sehemu hatari isiyo ya ukaguzi kukiwa na utelezi na ukungu kwa ajili ya ukaguzi usio rasmi, hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo,Poleni...
  15. Jaji Mfawidhi

    Mwendokasi hawana zimamoto! Mkurugenzi yupo tu kwenye AC!

    DART hapo ni Gerezani -Kariakoo, mwendokasi inaungua, wazimaji hawana ndoo za mchanga, hakuna mabomba ya maji ya kuzimia lakni kwakuwa ni karakana kubwa, basi walipasa kuwa na gari lao binafsi la kuzimia moto. Hii Kampuni juzi hapa kateuliwa mkurugenzi mpya, mambo yamekuwa mabaya kuliko hata...
  16. Jaji Mfawidhi

    Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

    https://www.youtube.com/watch?v=mDH3QEXfcD8 Binafsi naona wafungwa wa kike ambao "siyo bikra" na wamefungwa zaidi ya mwezi mmoja wapewe haki ya kufanya mapenzi walau kwa wiki mara moja. Hili jambo kama wana kataliwa tujiulize je sisi ambao tupo uraiani tunaweza kuishi bila hili tendo takatifu...
  17. Jaji Mfawidhi

    Serikali izifunge na kuzihamisha Shule za Sekondari Mkongo na Utete za Rufiji kwenda Dar

    Kufuatia Mafuriko ya Rufiji , kutokana na uzembe wa serikali na kukurupuka baada ya Envirment impact Assessment kuonyesha lile bwawa likijengwa litakuwa na uharibifu wa eco system na jamii sasa mafuroko makubwa yaja. Majumba yamefunikwa, mashamba yamefunikwa na sasa huenda shule hizo...
  18. Jaji Mfawidhi

    Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  19. Jaji Mfawidhi

    Mkurugenzi Catherine Mashala alitumbuliwa kwa kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 1.245,989,000?

    Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata dhamana kwenye hii kesi niliyoambatanisha. Kiasi halisi alichotuhumiwa kupiga ni...
Back
Top Bottom