Wakuu,
Kuna nafasi ya kazi kwa mwanamke(temporary)ya kufanya usafi ofisini. Ofisi ipo Victoria/Regent Estate mtaa wa Migombani karibu na NEMC au Kairuki hospital.
Muda wa kazi ni kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kutoka ni saa 5asubuhi.
Mshahara ni 150,000 kwa mwezi.
Kwa anayehitaji naomba...
VACANCY ANNOUNCEMENT
LK Microfinance is a registered Micro Credit company in Tanzania located at Win Win Shopping centre, Mbezi Beach, Plot No157, Kinondoni Municipality, Dar es Salaam. The company hereby invites applications from competent and experienced personnel to fill two vacant...
Habari wakuu. Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist) naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
Habari wakuu,
Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist).
Naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana.
Natanguliza shukrani.
Kuna nafasi ya kazi ya afisa mikopo kwenye ofisi ya Microfinance.
Ni ofisi ambayo ndo inaanza kutoa huduma ya mikopo midogo midogo hivyo inahitaji mfanyakazi mwenye elimu ya diploma ya finance,Marketing, Accounting au Business Administration.
Muombaji anatakiwa awe amewahi kufanya kazi kama...
Mkuu KAKA YAKO NAPITA, Isuna hapana ninahitaji Singida mjini eneo zuri kama maeneo ya Singidani,kifupi nahitaji sehemu ambazo kuna nyumba nyingi za kisasa.
Habari zenu wakuu,
Inahitajika nyumba ya kisasa ya kupanga Singida. Vyumba vitatu,kimoja selfcontained,public toilet,jiko,sebule,yenye tiles,paving blocks, uzio na geti.
Habari zenu wakuu,
Kwa yeyote anaefahamu Cashiers au mtu yeyote mwenye dhamana ya kutunza fedha kwenye Office hasa serikalini hulipwa risk allowance kwa mujibu wa sheria gani?Msaada tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.