Search results

  1. kiwatengu

    FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga πŸ†š Coastal Union πŸ“† 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi πŸ•– 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Coast Union Kinachoanza Updates... 1' Yanga wanafanya Shambulizi kali, Guede anakosa...
  2. kiwatengu

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ JKT TanzaniaπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 24.04.2024 🏟 Isamuhyo πŸ•– 10:00 Jioni KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Kikosi cha JKT Kinachoanza. Updates... Dk 25' 0-0 Game on, ball linachezwa kwa kuviziana hapa DK 30' Yanga wanakosa kosa hapa. Bado ni 0-0
  3. kiwatengu

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  4. kiwatengu

    Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

    Wakuu, Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish... Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na...
  5. kiwatengu

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    [emoji617][emoji617]MATCH DAY[emoji617][emoji617] [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Azam FC[emoji739]Young Africans SC [emoji414] 17.03.2024 [emoji909] Benjamin Mkapa Stadium. [emoji797] 02:30 Usiku Leo Leo ndio leo kivumbi na jasho... Azam wanaumana na Yanga leo 17.03.2024 muda ni...
  6. kiwatengu

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Match Day [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Namumgo FC [emoji739] Young Africans SC [emoji414] 08.03.2024 [emoji909] Majaliwa Stadium, Lindi. [emoji797] 12:00 Jioni Kikosi Cha Yanga Leo. #Daimambelenyumamwiko#. ======= Timu ya Yanga imefanikiwa kurejea kwenye usukani wa Ligi Kuu...
  7. kiwatengu

    Imetimia sasa, Yanga kuanza Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa Jangwani

    Habari njema Tumeipokea kupitia Ujumbe wa Rais wa Club: Injinia Hersi. Uwanja utajengwa kwa Udhamini wa moja kwa moja wa GSM. #Daimambelenyumamwiko#
  8. kiwatengu

    FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

    [emoji617]Match Day[emoji617] [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ TZ Prisons[emoji739]Young Africans SC [emoji414] 11.02.2024 [emoji909] Sokoine [emoji797] 10:00 Jioni Yanga wanaingia kwenye mchezo wao wa kukamilisha mzunguko wa kwanza dhidi ya Tanzania Prisons wakiwa na alama 37...
  9. kiwatengu

    FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

    [emoji617]MATCH DAY[emoji617] [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Young Africans SC Vs Mashujaa FC [emoji414] 08.02.2024 [emoji909] Azam Complex [emoji797] 1:00 Usiku Kikosi cha Yanga leo. Kikosi cha Mashujaa FC UPDATE. Mpira umeanza... Dakika ya 45. Max anaipatia Yanga goli la...
  10. kiwatengu

    FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC πŸ“† 04.01.2024 🏟 Amaan, Zanzibar πŸ•– 2:15 Usiku Ni Match ya Round ya Tatu. Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali, Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu. Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi. KIKOSI CHA YANGA...
  11. kiwatengu

    Special Thread: Happy New Year 2024, Wishes to JF Members

    Dear JamiiForums Members, As we embrace the dawn of 2024, may your paths be adorned with joy, prosperity, and boundless possibilities. Let the New Year be a canvas of fresh opportunities, where your aspirations paint vibrant hues of success and fulfillment. May the threads of connection...
  12. kiwatengu

    FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

    πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DAYπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC πŸ“† 23.12.2023 🏟 Jamhuri, Dodoma πŸ•– 1:00 Usiku Game yakufunga Mwaka hii. All the Best Young African SC. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza Kikosi cha Tabora United Kinachoanza Mechi ya leo. Mpira...
  13. kiwatengu

    Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  14. kiwatengu

    FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC πŸ“† 20.12.2023 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 4:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Yanga!! #DaimaMbeleNyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Medeama Kinachoanza. Dakika ya 33' Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome. Yanga 1 -...
  15. kiwatengu

    Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

    Mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika Kati ya Mamelodi Sundowns ya South Africa na Pyramids ya Egypt. Tunategemea Mchezo huu kuwa waushindani mkubwa kwani Timu zote kwenye hili Kundi zimeshinda mechi Moja moja. Matokeo Game ya jana 09.12.2023 kwenye kundi hili ni; FC Nouadhibou 0 TP Mazembe...
  16. kiwatengu

    FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

    Match Day Yanga SC vs Singida FG NBC Premier League Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522] Time: 1815hours Updates... Saa 12:04 Jioni Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa. Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa. Mawingu mepesi mepesi yametanda Vikosi Vinavyoanza Saa...
  17. kiwatengu

    FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

    Match Day. Young African Sports Club Vs Azam Football Club. Muda 12:30 Jioni. Benjamin Mkapa Stadium. Ni game kali, yenye kutaka ushindi. Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga? Tukutane kwa Mkapa. Daima Mbele, Nyuma Mwiko. All the Best Yanga. Mchezo umeanza Yanga...
  18. kiwatengu

    FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
  19. kiwatengu

    FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

    CAFCL: Young Africans SC Vs Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023 Time 1900Hrs EST Second preliminary round Β· Leg 2 of 2 Aggregate: 2 - 0 Ni mchezo wa Round ya Pili kuwania nafasi ya kuingia Makundi kutafuta Club bingwa Afrika Yanga wataingia Uwanjani wakiwa na goli mbili za ugenini...
Back
Top Bottom