Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3.
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu.
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake mzazi.
Yule wa kambo amegoma kata kata mzigo uje kwake yeye ndie aliemtunza kuanzia mdogo mpaka...
Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Tena wateja naona watakuwa ndugu zake wamatumbi AIBU HII
Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo?
Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu. Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za upande wa pili wakituaminisha wachezaji wetu ni wabovu/walevi/wazee.
Halafu tukiwauza/ au kuwaacha...
Sisi wakazi wa bunju tunaomba utuwekee bango letu la matokeo ya mechi yetu kati ya Belouzdad na Yanga pale mlipoweka bango la mwanzo.
Pia msiwasahau na wale watu wa manzese pamoja na marudio ya mechi ya leo.
Asante sana
Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.
Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.
Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya wale wazee wa fitna na kuhakikisha Simba inatawala soka la ndani Tanzania kwa miaka 4 mfululizo mpaka wale wazee...
Mimi ni mgeni humu kutokea maeneo ya Mo Arena Bunju.
Namtafuta mgonjwa wangu muhimu sana tulipotezana uwanja wa taifa baada ya goli la pili kufungwa baina ya Simba na Yanga. Sijui yu hali gani huko aliko?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.