Search results

  1. Stephano Mgendanyi

    CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa

    CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa ameanza ziara rasmi akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Rukwa itakayohusisha Mikutano ya ndani na Mikutano ya hadhara kuanzia tarehe 02 - 06 Juni, 2025. Ziara inalenga kukutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edwar Lekaita aweka msisitizo maliasili na utalii kufanya kazi kwa karibu na WMA

    MBUNGE EDWAR LEKAITA Aweka Msisitizo Maliasili na Utalii Kufanya Kazi kwa Karibu na WMA Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka mpya wq fedha 2024/2025 amesema WMA inasaidia wananchi...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Suma Fyandomo Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati

    MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati "Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo wako huo unaokutuma kufanya kazi za Watanzania, sina mashaka na wewe unafanya kazi kubwa sana...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE Aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo ya Mara kwa Mara "Jumapili ya tarehe 26 Mei, 2024 nilikuwa na mkutano wa hadhara katika Kata ya Weruweru na wananchi wakaniambia Mhe. Mbunge kwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Mkuu Biteko Apongeza Mikakati ya Kuinua Elimu Dodoma Jiji

    NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO APONGEZA MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI - Ampongeza Mbunge Mavunde kwa ubunifu wa Teachers’ Breakfast Meeting - Mbunge Mavunde agawa photocopiers kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani - Prof. Mkenda aanika mikakati ya serikali kwenye Elimu - RC Senyamule aeleza...
  6. Stephano Mgendanyi

    Kuelekea 2025 Shemsa Mohammed atoa Tsh. Milioni 8 kwenye ngoma ya asili ya Kisukuma

    SHEMSA MOHAMMED AMBAYE NI MLEZI WA TAMADUNI NA WAGANGA WA TIBA ASILIA NA MLEZI SUNGUSUNGU KANDA YA ZIWA WAGAWA ZAWADI KIASI CHA PESA MILION NANE ( 8,000,000/=) MBINA YA THELATHINI Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu SHEMSA MOHAMMED ambaye ni Mlezi wa Utamaduni na Waganga wa Tiba asili Mkoa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri, Zainab Katimba: Mkandarasi CRJE EAST AFRICA LTD Kamilisha Ujenzi wa Barabara kwa Wakati

    MHE. ZAINABU KATIMBA: MKANDARASI CRJE EAST AFRICA LTD KAMILISHA UJENZI WA BARABARA KWA WAKATI NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Athman Katimba amemuagiza Mkandarasi M/s CRJE East Africa LTD kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo alishauri Bunge na Serikali TANROAD Iwe ni Mamlaka Kamili Badala ya Kuwa Wakala Ili Kuondoa Urasimu

    "Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya Korogwe - Handeni - Kilosa - Mikumi (B127) inayounganisha Mkoa wa Tanga na Morogoro" - Mhe. Kwagilwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Atupele Mwakibete ataka benki nchini kuwapa Mikopo wanavijiji kupitia hati za umiliki Ardhi za Kimila

    "Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya mambo makubwa na kuzidi. Waziri Mkuu ulitembelea Mkoa wa Mbeya ikiwemo Halmashauri ya Busokelo, tunakushukuru sana. Lakini mojawapo ya changamoto nchini kumekuwepo na tatizo la kutolewa kwa hati za ardhi za kimila...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Santiel Kirumba aitaka serikali kuiongezea road fund bajeti ya kutosha ili kuboresha barabara (km 71) Kongwe nchini

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Aitaka Serikali Kuiongezea ROAD FUND Bajeti ya Kutosha Ili Kuboresha Barabara (KM 71) Kongwe Nchini "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa jinsi alivyoweza kununua mitambo ya kisasa ya TMA na kupelekea TANROAD kufanya kazi kwa ufasaha kipindi cha Elnino ilivyotokea nchini, la...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicodemas Maganga amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA Amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe "Maeneo ya Kanda ya Ziwa tunayo changamoto, Barabara ni mbaya sana, nyingi ni za vumbi, Magari yanakata Chesesi kwasababu ya ubovu wa Barabara. Bajeti ya Trilioni 1.7 ni ndogo sana, Waziri wa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Barabara ya lami ya Musoma-Makojo-Busekera kuanza kujengwa

    Wizara ya Ujenzi inasema yafuatayo: 1. Matayarisho ya Manunuzi (kumpata Mkandarasi) yanakamilishwa. Barabara litajengwa kwa awamu mbili, kwa kuanza na km 40. 2. Randama (Kitabu cha Bajeti) kinasomeka hivi; (2a) Ukurasa wa 116 unaorodhesha barabara hilo kwenye Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025...
  13. Stephano Mgendanyi

    Bunge lapitisha bajeti wizara ya ujenzi kwa asilimia 100

    Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege. Jana Mei 29,2024 Waziri...
  14. Stephano Mgendanyi

    Bodi ya Mfuko wa Barabara yakusanya Mapato kwa Asilimia 77

    Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24. Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25. Amesema katika mwaka wa fedha 2023/24, Bodi...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nancy Nyalusi alia na Madeni ya Wakandarasi yanayopelekea riba kubwa kwa Serikali

    ampongeza Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu na kikosi kizima cha Wizara ya Ujenzi. Sote tumeona jinsi ambavyo Mvua zimeharibu miundombinu kwa mwaka huu lakini wamehangaika usiku na mchana kuhakikisha huduma zinarejea kwa wananchi, tunawapongeza sana na kuwatia moyo, tuna imani na matarajio...
  16. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Vishoka Wanaoshikilia Maeneo Yenye Malighafi za Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni...
  17. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Wataalam Waliostaafu Kuendelea Kutumika Katika Ujenzi na Matengenezo ya Barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Amina Mzee atoa wito kwa Taasisi za Serikali kuilipa TBA na TEMESA madeni Ili Mashirika yaweze kujiendesha

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na TEMESA ili kupunguza changamoto za ukosefu wa fedha kwa Mashirika hayo. "Nampongeza Mheshimiwa Rais...
  19. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aweka Wazi Miradi Itakayoondoa Msongamano wa Magari katika Majiji

    BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI. Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
  20. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Ujenzi Yaanika Vipaumbele Tisa

    WIZARA YA UJENZI YAANIKA VIPAUMBELE TISA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele tisa vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/25, Bashungwa amesema...
Back
Top Bottom