Search results

  1. Auz

    Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Angalau akili ilimrudia na kujiendekeza kukaisha, maana mambo mengine ni kujiendekeza tu! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  2. Auz

    Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Andika thesis utunukiwe PhD! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  3. Auz

    Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Ndio uraibu wenyewe huo, kila akijisikia anaenda na aliyepo karibu naye. Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  4. Auz

    Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Unachukuliaje ushoga, nao si ni uraibu? Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  5. Auz

    Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Nani haoni kundule! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  6. Auz

    Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

    Assistant Medical Officers ndio hawapaswi kujua Kiingereza au elimu yao ikoje hata wasiijue hiyo lugha? Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  7. Auz

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Pengine, maana ccm hawafanyi jambo bila ya sababu. Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  8. Auz

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Wachilia mbali samani, hilo jengo si angepewa mmiliki wa kiwanja aamue nini LA kufanya? Hizi akili za kimaskini zinaliangamiza taifa. Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  9. Auz

    Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

    Na walitakiwa waongee nao kila mgonjwa anapojieleza wao watafsiri. Shughuli ilikuwa ngumu. Cha ajabu mgonjwa akijieleza, wao taarifa wanaiandika katika Kiingereza! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  10. Auz

    Watoto mapacha waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa waruhusiwa kutoka Muhimbili

    Kashakuwa mmoja wao. Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  11. Auz

    Kwanini wazungu wameshindwa kutokomeza kunguni Ulaya?

    Pesa zao! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  12. Auz

    NBS: Watanzania 9 kati ya 10 Wanatumia Miguu kama Nyenzo Kuu ya Usafiri

    Hii taarifa haina uhalisia. Watumia baiskeli wamepitwa kwa wingi na watoto wa shule wanaotumia usafiri wa basi? Kuna miji, vijiji vina utitiri wa watumia baiskeli, mabasi ya shule hata waingize na daladala sidhani kama wataipiku idadi ya waendesha baiskeli. Sent from my moto g 5G (2022) using...
  13. Auz

    Jela kwa kukataa chanjo

    Nakubaliana nawe, ni njia ya kutisha watu wasiwe na uhuru wa Imani zao kama ilivyoainishwa na katiba. Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  14. Auz

    Jela kwa kukataa chanjo

    Katika huduma za kitabibu, kuna Uhuru wa kukataa matibabu, ila unakiri kimaandishi kukataa hiyo huduma. Wangehukumiwa pale ambapo, kuna madhara kwa wale waliokosa huduma kutokana na maamuzi yao. Katiba mpya inahitajika katika kila nyanja kwa kweli! Sent from my moto g 5G (2022) using...
  15. Auz

    Jela kwa kukataa chanjo

    Dhehebu ni 'watchtower' au Mashahidi wa Jehova, ambao wanachapisha vipeperushi vyenye jina watchtower? Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  16. Auz

    TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

    Mbona ziko shule karibu zote hapo za Kiislam alizofundisha? Kwa kusoma tu, napata taswira alikuwa ni muumini wa Kiislam. Hakuna shida! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  17. Auz

    TANZIA Mwalimu maarufu wa Geography, Mtegetwa Mng'ala Afariki Dunia

    Apumzike kwa Amani! Alikuwa bado kijana Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  18. Auz

    TRC: Mgawo wa umeme hautaathiri treni za SGR

    Muhimu! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  19. Auz

    TRC: Mgawo wa umeme hautaathiri treni za SGR

    Kumbukumbu tuweke sisi, tuje mkumbusha, atasema hakuwahi kuzungumza hivyo! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
  20. Auz

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Kuna wanaomuita Lema ni nabii. Sasa tunaona kile alichokiita 'laana'! Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom