NBS: Watanzania 9 kati ya 10 Wanatumia Miguu kama Nyenzo Kuu ya Usafiri

mkuu unetisha sana professor janabi oyeeee kuna nchi tajiri za ulaya usafiri wao mkubwa ni baisikeli na kutembea kwa miguu kujikinga na magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Umewahi kumuona Janabi anaenda kazini kwake na Baiskeli? Za kuambuwa vhanganya na zako
 
mkuu unetisha sana professor janabi oyeeee kuna nchi tajiri za ulaya usafiri wao mkubwa ni baisikeli na kutembea kwa miguu kujikinga na magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Sisi hatutembei kimazoezi na kujenga afya Bora, Bali sisi ni dhiki imeshika hatamu, wakati nyie mlio wengi mnasaga kwato kuna jamaa yeye Yuko peke yake kwenye Prado la 200 mil anasota huku anakula ac, ,
 
wanakwambia "tuna-print"
ila bodaboda na bajaji zinapiga kaz sana, nadhan hyo takwimu ni ya nyuma kdg
Wakikupa takwimu za hivi karibuni ndiyo utachoka zaidi maana Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya kumbuka nauli zimepanda maradufu Kwa watu wa vijijini ndiyo balaa zaidi watu wanatembea Kwa miguu mwanzomwisho
 
Angalau natembea huku nimekaa mambo ya baiskeli hayo nimewakwepa 9 watembea kwa miguu nipo kwenye huyo wa 10/9 asante muhamadswalalaha waswalala
 
Ripoti ya Hali ya Kaya iliyoandsliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu mwaka 2020/2021 imeonesha kwamba ni Watanzania 9(92.6%) kati ya 10 Wanatumia Miguu kama Nyenzo Yao kuu ya Usafiri wanapoenda kwenye shughuli zao mbalimbali zikiwemo za maendeleo.

--

My Take
Huu ni umaskini wa Kutisha, Serikali Ina kazi ya kufanya Kuinua Hali ya maisha ya watu wake.
Hii taarifa haina uhalisia. Watumia baiskeli wamepitwa kwa wingi na watoto wa shule wanaotumia usafiri wa basi? Kuna miji, vijiji vina utitiri wa watumia baiskeli, mabasi ya shule hata waingize na daladala sidhani kama wataipiku idadi ya waendesha baiskeli.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ripoti ya Hali ya Kaya iliyoandsliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu mwaka 2020/2021 imeonesha kwamba ni Watanzania 9(92.6%) kati ya 10 Wanatumia Miguu kama Nyenzo Yao kuu ya Usafiri wanapoenda kwenye shughuli zao mbalimbali zikiwemo za maendeleo.

--

My Take
Huu ni umaskini wa Kutisha, Serikali Ina kazi ya kufanya Kuinua Hali ya maisha ya watu wake.
Hii aina nyinginezo ni zipi?
 
Back
Top Bottom