Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

Mmh hii sio addiction navyojua addiction ni uraibu unapenda kufanya hicho kitu kuliko kawaida ungesema mtu anafanya sex sanaaa ila hilo la kupita na na bosi, wafanyakazi wenza hadi bodaboda ni umalaya aisee sio addiction.
Ndio uraibu wenyewe huo, kila akijisikia anaenda na aliyepo karibu naye.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa kijana mdogo wa form two, kitu genye kilikua kunanitesa Sana, ilifikia nikashindwa kujizuia nikamvaa mmama mmoja malaya over forty tukaelewana Bei akakubali kunivulia chupi nakumbuka chupi yake ilikua nyekundu.
From there Mimi na Malaya ikawa Kama uji na mgonjwa.
Nimewatembelea kuanzia Kidongo chekundu, Livingstone, Maandazi Msasani, Manzese, Buguruni mpaka nikaja kupata Toto la kizaramo single mother ndio nikaachana na Malaya.
Mzaramo ilikua nikirudi kazini saa kumi lazima anitulize kwanza ndio nitoke kwenda kupata bia mbili na mishkaki.
Naweza kusema Nina uzoefu na K, unaweza kunifunga kitambaa usoni halafu unipe mwanamke, kwa mchezo wake tu nitakuambia umri wake na mkoa anaotokea.
Andika thesis utunukiwe PhD!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Sure babe Its all yours. Jipimie utakavyo!
4e02c09ecdd8c77a5469f88696e77040.jpg
 
Wewe kandana kisawasawa, tafuta anayependa pia kukandwa daily.....baada ya miaka kadhaa hiyo hali inaanza kupungua yenyewe.....mim ni hali niliyopitia
Ulikuwa una penda kukandana sana pia eh, ?! Mara ngapi kwa siku ilikuwa, tupe experience yako kidogo kama hutojali.
 
Nikiwa kijana mdogo wa form two, kitu genye kilikua kunanitesa Sana, ilifikia nikashindwa kujizuia nikamvaa mmama mmoja malaya over forty tukaelewana Bei akakubali kunivulia chupi nakumbuka chupi yake ilikua nyekundu.
From there Mimi na Malaya ikawa Kama uji na mgonjwa.
Nimewatembelea kuanzia Kidongo chekundu, Livingstone, Maandazi Msasani, Manzese, Buguruni mpaka nikaja kupata Toto la kizaramo single mother ndio nikaachana na Malaya.
Mzaramo ilikua nikirudi kazini saa kumi lazima anitulize kwanza ndio nitoke kwenda kupata bia mbili na mishkaki.
Naweza kusema Nina uzoefu na K, unaweza kunifunga kitambaa usoni halafu unipe mwanamke, kwa mchezo wake tu nitakuambia umri wake na mkoa anaotokea.
huyu ni mim kbsa na mpaka nimestaafu kwa kula mbususu zaidi ya 150
 
View attachment 2922042

Too much of something is harmful.

Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa.

Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia. Unakuta mdada kama ni kazini unakuta kuanzia boss hadi boda boda anaeleta chakula kazini ameshapitia nao.

Watu wanapenda ngono ila kuna point ambayo sasa hata mwenyewe kujishtukia kuwa sasa nimezama kwenye maji.

Vp uliwaje kudhibiti hii kitu au rafiki/mke/mme/ndugu aliwezaje pia?
Well just kama addiction zingine, kuna triggers, marafiki, porn , starehe kupitiliza. Once ukishaa identify trigger ukaziondoa kwenye mind yako, safari ya kupona inaanzia hapo. Make no mistake si rahis but but ni possible. Lazima uwe tayari kukitoa sadaka kinacho sababisha hiyo addiction
 
Back
Top Bottom