Search results

  1. Auz

    Michae Maluwe kumbe na wewe hujui Kingereza?

    Toa maelezo yote ili ueleweke vizuri ni nini kinaongelewa baina ya wahusika. Unaonaje kwa ambayo angeanza na 'did you...?' hiyo ndio ingeonesha ni swali.
  2. Auz

    Nawiwa kuongeza mke wa pili

    Nini hasa kinakusukuma kuwa na mke wa pili?
  3. Auz

    Kuna faida gani mwanamke kuwa Mtunisha misuli?

    Kama kweli anakunjika!
  4. Auz

    Kuna faida gani mwanamke kuwa Mtunisha misuli?

    Na kinyume chake pia ni swali la kujiuliza, wanadamu Wana mengi!
  5. Auz

    Matokeo darasa la saba 2024, kuna kila dalili hujuma zinafanyika dhidi Shule za Kayumba

    Ni mfumo wa ccm kwa makusudi kuwapumbaza WaTz ili tabaka lao litawale milele. Ufinyu wa waalimu, wakaguzi wao, ufinyu wa mishahara na mafao yao, ufinyu wa vifaa vya kufundishia, madarasa, madawati, shule zilizokamilika n.k. ni mpango mahsusi wa ccm kudidimiza ubora wa elimu kwa WaTz.
  6. Auz

    Hivi siku hizi hakuna majambazi?

    NambA 1, 2 na 5 ni hao hao, wameelewana kufanya yao kwa jinsi tofauti!
  7. Auz

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kuwe na haki, uwazi na kuheshimu katiba na maamuzi ya wapiga kura, utapona kama hatapatikana mbadala wake. Nchi ya kutekana, isiyo na uongozi, ndio inasema ametosheleza? Anapwaya kupita maelezo!
  8. Auz

    Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

    Kiongozi wao kauawa akizungukwa na dola taslimu zaidi ya 10 elfu.
  9. Auz

    Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

    Kiongozi wao kauawa akizungukwa na dola taslimu zaidi ya 10 elfu
  10. Auz

    Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

    Amani itakuwepo vipi duniani wakati USA watengeneza silaha wakuu duniani wanatafuta soko la bidhaa yao? Kinachochekesha na kuhuzunisha zaidi ni pale Israel inaposhinikizwa na Marekani kuwa iruhusu misaada ya kiutu kutoka Marekani iwafikie Wapalestina la sivyo Marekani itasitisha kutoa msaada wa...
  11. Auz

    Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

    Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani. Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.
  12. Auz

    Israel inapata wapi pesa za kuendesha vita?

    Unajisomea kuhusu hii nchi au unasubiri kuambiwa, maana yote yako wazi, huna hata haja ya kuuliza.
  13. Auz

    Alikufa kwaajili yangu

    Kwa akili yako nini kinakuambia kajiua kwa ajili yako?
  14. Auz

    Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

    Ingekaa kimya hata wewe usingejua. Kabla hata ya vipigo walishaona kupitia utabiri wa hali ya hewa, na maafa yanatangazwa si kama kwetu Tz ingekuwa Siri na pengine WaTz kupotezwa na bibie rais kwa kuweka ukweli hadharani.
  15. Auz

    Kuelekea 2025 Kampeni meneja wa Rais 2025 awe Humphrey Polepole, Luhaga Mpina, prof. Kitila Mkumbwa na Ally Bashiru

    Mameneja wana sifa ila watakayemnadi hana hizo sifa, WaTz si wajinga kiasi hicho! 4R zinafanya kazi gani mpaka sasa, ni geresha tu. Unaona amewakumbatia mpaka sasa ndio wanaofanana naye!
  16. Auz

    Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    U.U.K.K. yaani watu wanaua na kupewa risiti. Ushirikina ipigwe marufuku rasmi Tz!
  17. Auz

    Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    Kilichoandikwa ndio unachokiona, usibadili ili ujifurahishe.
Back
Top Bottom