USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayoKatika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...peoesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
DHL
Pepsi, Coca-Cola
Amazon
Movies
Music
Unaujua mradi wa power Africa?USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...peoesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Huko barabarani kumejaa mabango ya barabara zilizojengwa kwa msaada wa watu wa Marekani, chanjo nyingi ulizopata ni kwa msaada wa watu wa Marekani, ARVs na condom ni bei rahisi kwa ufadhili wa watu wa Marekani, Hata unga wa Yanga wakati wa njaa ulitoka Marekani.USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...peoesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
DHL
Pepsi, Coca-Cola
Amazon
Movies
Music
NimerekebishaDHL?!
Nimerekebisha
Hayo marekani kaanza kuyafanya kwa sababu ya china..marekani anachukizwa sana na china kukubalika africa na kufanya miradi inayo mfanya akubalike kuliko 🇺🇸 ni janja tu ila siyo kutoka moyoni ....ndiyo maana watu wanamuona marekani ni muhuni tu hata madawa ya ukimwi ukiwa na akili finyu unaweza kuishukuru marekani ila kama una akili kubwa utailaani. watu wanashinda kujiuliza mbona dawa za ukimwi zinatolewa bure wao wanadhani ni upendo kumbe wangejua mchezo uliopo nyuma yake dhidi ya muafrica na dunia,. wasingeshukuru ..kuna magonjwa chungu mzima kwanini ukimwi tu ?Unaujua mradi wa power Africa?
Yaani wewe sijui popoma..........hivi kwa msaada wa marekani USaid ujaziona .......maana sio kitu kimoja tu anacho fadhiri viko vingi sana ikiwemo kufubaza virusi vyako.........marekani hajajenga reli ila miradi yake hapa duniani na kama sio tanzania basi inaweza kujenga nchii kadhaa.........mpaka huko UN bila marekani kutoa pesa zake sidhani kama ingekuwepo mpaka leo......yeye ndiye mchangiaji mkuu kushinda wote hata huyo mangi wa kichina haoni kitu........kwa pesa marekani alizo wekeza nje na anazodhitoa ingetosha kuwa maliza masikini wote waliopo kwake na hakawa hana hata omba omba mmoja.......hila kaamua kujari wengine .......SALUTE KWAKEUSA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...peoesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Amani itakuwepo vipi duniani wakati USA watengeneza silaha wakuu duniani wanatafuta soko la bidhaa yao?Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Unaijua Power AfricaHiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Ilo swala la virus nimelisema kabla ya kuona hii comment yako hivyo jua tu unaye bishana naye ni mjuzi kukuzidiYaani wewe sijui popoma..........hivi kwa msaada wa marekani USaid ujaziona .......maana sio kitu kimoja tu anacho fadhiri viko vingi sana ikiwemo kufubaza virusi vyako.........marekani hajajenga reli ila miradi yake hapa duniani na kama sio tanzania basi inaweza kujenga nchii kadhaa.........mpaka huko UN bila marekani kutoa pesa zake sidhani kama ingekuwepo mpaka leo......yeye ndiye mchangiaji mkuu kushinda wote hata huyo mangi wa kichina haoni kitu........kwa pesa marekani alizo wekeza nje na anazodhitoa ingetosha kuwa maliza masikini wote waliopo kwake na hakawa hana hata omba omba mmoja.......hila kaamua kujari wengine .......SALUTE KWAKE
Tangu umekuwa mujahideen unazidi kupoteza uwezo wako wa rationality.Kukariri ni janga!
World bank ni tatizo kwa africa ndiyo wanakuambia tunakukopesha pesa za mradi ila shariti mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzie ...unajua kwanini world bank alipo msusia jpm kumpa fedha za miradi ila yeye aliweza kufanya hiyo miradi walipo gundua kuwa anaweza kufanya bila fedha zao walikuja mbio kwake na kutaka kumfadhiri ...kumbuka walipo kuja kwenye sgr nk unajua kwanini waliogopa jpm kufanikisha miradi pasipo wao kutoa pesa.Unaijua Power Africa
PEPFAR
Miradi yote inayojengwa kwa pesa za World Bank(WB) na African Development Bank(AfDB) ni pesa za Marekani.