Kuna faida gani mwanamke kuwa Mtunisha misuli?

Nisaidieni kujua

Kuna haja ipi ya Mwanamke kuwa namna hii?

Ni hamu ya kuwa mwanaume? au anajihisi mwanaume? au Maumbile ya kiume yanamvutia katika namna ambayo nae anatamani kuyamiliki?

Mimi upeo wangu umegota , sijui ni kiwango kikubwa cha umbumbumbu nilio nao au lah..

Akili yangu inaona shida mahali, mwenye maarifa juu ya hili naomba kuelimishwa.

View attachment 3134426
Hizo ni culture za watu, eewe mmatumbi haiwezi make sense kwako sababu wenye culture uyao ndio wanaelewa. Na kwa taarifa yako kuna miamba inaoa na kuzalisha kabisa
 
Siku hizi Wanawake wana shobo na pigo za kiume hao ndo wanataka kuaminisha mwanamke anaweza kila anachofanya mwanaume wanaotetea huu upuuzi ni wenye attitude za ushoga ushoga.
 
Sioni kama ni kitu kizuri aisee...hapendezi aisee... mwanamke anatakiwa awe mlaini mteketeke ndo sifa zetu...
 
Screenshot_20221223-170422_WhatsApp.jpg
 
I do not discuss my family in the hypothetical.

I have so much respect for them to do that.

I also do not expect you to undestand that.

Because you seem to lack basic home training.
Iki ingiia lazima ulalamike kwa ki mombo
 
Nisaidieni kujua

Kuna haja ipi ya Mwanamke kuwa namna hii?

Ni hamu ya kuwa mwanaume? au anajihisi mwanaume? au Maumbile ya kiume yanamvutia katika namna ambayo nae anatamani kuyamiliki?

Mimi upeo wangu umegota , sijui ni kiwango kikubwa cha umbumbumbu nilio nao au lah..

Akili yangu inaona shida mahali, mwenye maarifa juu ya hili naomba kuelimishwa.

View attachment 3134426
Na kinyume chake pia ni swali la kujiuliza, wanadamu Wana mengi!
 
Kwa ufupi hii dunia ni subwa na mambo yake ni mengi mnoo
Achana nayo sika yale yakufaayo
Kuna koplo wa jeshi letu toka nimfahamu 2011 hadi leo yeye na matomboy- matomboy na yeye
 
Wanawake wenye misuli kama hawa wananipa msisimko sana
 

Attachments

  • VID-20241025-WA0017.mp4
    3.9 MB
Back
Top Bottom