Katika safari ya maisha, mafanikio katika kila sekta yanahitaji mwongozo kutoka kwa washauri wenye uzoefu. Ninajivunia kujifunza kutoka kwa watu ambao wamefanikiwa na wako tayari kushirikisha uzoefu wao.
Siwezi kupokea ushauri kutoka kwa mtu ambaye hana uelewa wa Msingi katika eneo husika, kama...
You are of course entitled to express yourself as you see fit, however it might be advisable to exercise caution to ensure that your written contributions do not give the impression of an intellectual deficiency.
Hata mimi mwenyewe sijapata kufahamu sabababu ya kununiwa mkuu! Labda pengine amerukwa na akili, kwa sababu ni kitu ambacho sio cha kawaida kununa bila ya sababu.
I would like to express my sincere regret at the regrettable events that occurred.
Kwangu , I regret that I did not pay sufficient attention to some of the minor red flags that I noticed in her behaviour, nor did I pay much respect to her past As Natafuta ajira always says! Events zinatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.