Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

Wala usimfukuze, na wewe nuna mara kumi zaidi yake..!!

Au km vipi si umpelekee moto kisirani kiishe....!!
Wanawake tunakuwaga na nyege zinazoambatana na visirani mkuu, piga mashine. Hujapitia kwenye vikao vya kiumeni?
Hahahaha! Wewe mknga hatari. Huu ushauri nimeuchukua kwa sababu umetoka kwenye trusted source.
 
Kama kanuna achana naye, ndo kwanza wiki mbili unaanzaje kumfukuza MKE! Vunga kwanza ndenda job rudi saa mbili usiku, usimpe bichwa kwa kuongea ongea nae au kujipendekeza.
 
Ndiyo tabia zao kukusoma ili akutawale. Ili usiwe mtumwa siku za mbeleni mnyoshee rula moja kwa moja
Baharia Mkuu ,tuendele kumpa madini au tumwache aende zake?😀😀😀

Pekua kwenye list yako kuna pahala kama Baharia uliacha akiba?
Wanasema akiba haiozi...

Nenda katulie huko,msongo wa mawazo wa kukosa kipochi manyoya ni mbaya sana kwa Mwanaume,hasa ukiwa umeoa na unaona kabisa mali hii hapa.

Ishi maisha mepesi magumu kusomeka.
Hatujao kupata tabu,ukiletewa tabu tafuta raha utulie.
Wajumbe wenyewe wa Bwana Muumba walikuwa wanatembeza Kirungu mwanzo mwisho,wewe nani?

Tezi dume litawahi kuja mapema mno..plus na hizi sijui prostate cancer..chakata Baba ,amka uliko lala.
 
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!

Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .

Nafikiria kumfukuza arudi kwao.

Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.

Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Hapo bado kaza msuri wa tako sisi ni miaka 28 hadi leo!🤔🤔
 
Kama mahari hukulipa ya maana achana nae.
Ila ujue kuwa hata wababa zetu walipambana na visirani vya kina mama sameway.. ukiwa mwanamke napo changamoto sometimes waweza lia usijue unalia nini! Kawaulize baba zako watakupa muongozo
Umeeleza vyema Ariana .
Amekesha akilia bila ya sababu za msingi kulingana na mimi, may be kwake anazo sababu za msingi ambazo hataki mimi nizifahamu.
 
Baharia Mkuu ,tuendele kumpa madini au tumwache aende zake?

Pekua kwenye list yako kuna pahala kama Baharia uliacha akiba?
Wanasema akiba haiozi...

Nenda katulie huko,msongo wa mawazo wa kukosa kipochi manyoya ni mbaya sana kwa Mwanaume,hasa ukiwa umeoa na unaona kabisa mali hii hapa.

Ishi maisha mepesi magumu kusomeka.
Hatujao kupata tabu,ukiletewa tabu tafuta raha utulie.
Wajumbe wenyewe wa Bwana Muumba walikuwa wanatembeza Kirungu mwanzo mwisho,wewe nani?

Tezi dume litawahi kuja mapema mno..plus na hizi sijui prostate cancer..chakata Baba ,amka uliko lala.
kuna member mmoja kashauri dawa ni mwenzake! Kesho anapata rasmi msaidizi wake.
 
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!

Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .

Nafikiria kumfukuza arudi kwao.

Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.

Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Hapa ni kuvumilia na kuishi kama vile upo darasani, maana kwenye ndoatunapewa vyeti Kwanza,mtihani baadae huo ndio mtihani,Yakupasa uushinde ili cheti chako kiwe GPA ya juu!
 
Kama kanuna achana naye, ndo kwanza wiki mbili unaanzaje kumfukuza MKE! Vunga kwanza ndenda job rudi saa mbili usiku, usimpe bichwa kwa kuongea ongea nae au kujipendekeza.
Ratiba zangu nazibadilisha mkuu, home nitakuwa naingia night kali , na hicho kidudu chake sikigusi.
 
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga!

Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana. Nimejaribu kuzungumza naye, lakini hataki kuonyesha ushirikiano .

Nafikiria kumfukuza arudi kwao.

Nadhani ni bora niishi peke yangu kuliko kuishi na mtu huyu.

Ninahisi kuchanganyikiwa na kukata tamaa. Je, kuna mtu yeyote anaweza kunipa ushauri?
Bro me nlikuwa kwenye relationship na mtu kwa labda let's say 1 day sababu we had one day to hang around sasa we went around na nini akarud kwake me nkaenda kwangu, surprisingly akabadilika mood akawa hajibu msg kwa wakati nikapotezea, kesho yake akanipa ratiba ya anapoenda maybe alidhan ill be interested and I'll join her kusema ukweli me nlimdanganya nilipo ili nisiende alipo sababu nlikuwa sinza na washkaji zangu alafu nlikuwa na mwanamke mwingine. Wanawake sijui wanatoaga wapi mood swings wanazokuaga nazo, alinikata simu hadi leo mwanamke akisema tufanye relationship mpaka nimweke moyoni na karibu ajue kila kitu changu kazi anayo, sipendi, kupotezeana muda wakati pussy is very cheap nowadays.. MSEMA UKWELI MPENZ WA MUNGU... usioe mwanamke kabla hujamjua vizuri, unaweza kumtomba ila usioe kabisaaa, wanajua kuigiza na kuplay victims kwa muda mrefu. KAA KIMASTA
 
Back
Top Bottom