Recent content by My beginning

  1. M

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali ya Uthubutu, Uwajibikaji mzuri kwa maendeleo bora katika Sekta ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  2. M

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali Ya Uthubutu, Uwajibikaji Mzuri Kwa Maendeleo Bora Katika Sekta Ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  3. M

    SoC04 Nguvu iliyopo nyuma juu ya maliasili katika maendeleo ya nchi

    Moja ya nadharia ya Kodi inasema wananchi wanapaswa kulipa Kodi na kusapoti serikali na ndivyo ilivyo sike zote na Moja kati ya sifa za Kodi ni equality Yani watu wote walipe Kodi kiusawa lakini pia inategemea na uwezo wako wa kuzalisha Kodi kama vile kulipa Kodi kulingana na mapato yako...
  4. M

    SoC04 Nguvu iliyopo nyuma juu ya maliasili katika maendeleo ya nchi

    Maliasili ni vitu ambavyo vipo asilia. Vitu hivi ni vitu vinavyotuzunguka lakini havijatengenezwa na mtu au taifa fulani. Asilimia kubwa tunategemea maliasili kwa ajili ya kuendeleza uchumi wa nchi na taifa kwa ujumla. Tanzania ni moja ya nchi iliyobarikiwa kuwa na maliasili nyingi kama vile...
  5. M

    Namna ya kuweka andiko lako ndani ya jukwaa la Stories of Change

    Safari maridadi juu ya mafanikio Karibni kushare
  6. M

    SoC03 Safari maridadi juu ya mafanikio

    Katika maisha Kila binadamu anaye hitaji kufanikiwa katika jambo, lengo au ndoto fulani ni lazima awe na sifa au tabia fulani katika kufanikisha jambo au lengo Hilo, na hii ndio tunaita safari maridadi juu ya mafanikio. Watu wengi walioweza kufanikiwa huwa na tabia fulani kwenye maisha Yao ndiyo...
  7. M

    SoC03 Mafanikio thabiti juu ya elimu shuleni na vyuoni

    Mafanikio thabiti juu ya elimu Kwa ngazi zote hupelekea hamasa ya utendaji na uwajibikaji wa hali ya juu katika sekta au kazi fulani. Hii hutokana na kuundwa Kwa msingi imara kipindi mwanafunzi anapokuwa katika taaluma yake. Katika mafanikio thabiti juu ya elimu huundwa na tabia au mikakati...
  8. M

    SoC03 Afya bora kwa chachu ya maendeleo

    Nini maana ya afya? Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na maradhi au ugonjwa wowote. Afya bora hutokea pale ambapo binadamu anafuata taratibu zote za afya Kwa usahihi. Kusudi binadamu awe na afya njema na bora ni lazima kufahamu mambo makuu...
Back
Top Bottom