wewe mkuuu ushauri pekee naoweza kukupa ni kwamba jielimishe mkuu----- na ninaanza kua mkali mkuu --- jibu kwanza swali langu #246. ukijibu namimi ntakujibu swali hili---- hatuwezi kuacha watu mnazua taharuki kizembe zembe mkuu---
Sunna mkuuu--- unataka twende huku kweli 🤣 -- mkuu yoda mimi nilidhani una maarifa makubwa mkuu -- kumbe wewe ni kama mimi tu na unaweza hata ukawa chini yangu---
ukitaja sunna kwamba ?/?
vipi mkuu kila anayekula na mkono wa kulia -- kwahiyo anakua anaashiria yeye ni muislamu sasa...
lini wamedeclare kwamba hayo ndo mavazi ya kuashiria imani yao --- nifunze mkuu --- mimi naamini ujinga ndo unafanya watu wakiona mavazi hayo waone ni dini --- kama si hivyo basi mjinga ntakua mimi na nipo tayari kutoa ujinga -- naomba nielimishe
ni lini mavazi hayo yametambulika rasmi ni ya...
yeah, mkuu--- sema nawe naona unataka kunibana katika angle tata sana mkuu 🤣.
paragraphs zako zina hoja mbalimbali sana -- i respect that-- but i worry that you have assumed my religion -- this is not good
naam nahitihimisha mkuu chuki za kidini ni kupungukiwa maarifa tu -- regardless...
kama kweli kidhati mkuu unakubali kua haya si mavazi ya dini -- ila waumini wa imani fulani wameyapenda sana na kuyathamini--- basoi tuungane kuelimisha jamii kwamba haya mavazi si ya kidini -- hii ndo key concept mkuu.
kuruhusu kua na hofu kwamba kanzu, baibui ni vazi la waislamu ni jambo...
mkuu kama umeweza kuitaja baibui kwenye hoja yako--- bashe hakuna haja ya kumlaumu kwa lolote maana raisi wake anavaa mavazi ya namna hiyo sana---
and still tunarudi palepale--- baibui, kanzu sio dini wala ibada --- haijalishi wingi wake kuonekana yakivaliwa msikitini wala sikukuu wala...
unaandika ujinga mkuu--- this is real talk--- no wonder ccm inatuburuza hivi inavyotuburuza -- shida ni maarifa ya sisi wananchi wake--- unaandika mambo ya ajabu sana mkuu
image sahihi ni kitu gani na kwa nani?-- na kitu gani kimekuonesha kwamba image sahihi imevujwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.