Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania.

kwa hizi hoja---- hata hakuna haja ya """no reforms no election"""--- ccm waendelee kutuburuza kama punda tu.
Huoni umuhimu wa viongozi kuwakilisha taifa kwa image sahihi? Mtu asiyeijua Tanzania akimuangalia Bashe, atajua ni msomalia anazungunza. Maana haiba na mavazi yake kwenye Ile video yanamuonesha hivyo.
 
View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?

Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Rubbish!!! Watoto wa aina yako mtakuwa wakubwa lini??? Rubbish!!
 
Huoni umuhimu wa viongozi kuwakilisha taifa kwa image sahihi? Mtu asiyeijua Tanzania akimuangalia Bashe, atajua ni msomalia anazungunza. Maana haiba na mavazi yake kwenye Ile video yanamuonesha hivyo.
unaandika ujinga mkuu--- this is real talk--- no wonder ccm inatuburuza hivi inavyotuburuza -- shida ni maarifa ya sisi wananchi wake--- unaandika mambo ya ajabu sana mkuu

image sahihi ni kitu gani na kwa nani?-- na kitu gani kimekuonesha kwamba image sahihi imevujwa?
 
Umesoma na kuelewa au tayari ulikuwa na jibu lako ambalo halikuhitaji kuelewa nilichoandika?! Utetezi hafifu upi na wa kutetea nini?! Hivi ukisoma nilichoandika, hoja yangu imejikita kwenye ulichoita joto au ilijikita kwenye kuelezea uhalali wa hilo vazi kama ambavyo mteja mada ameita?! Na kwenye suala la joto nimesema wazi kwamba "linakuzwa na watu aina yenu", kwahiyo kama Kiswahili unakielewa sawasawa, tunaposema kitu kinakuzwa manake hakipo; na kama kipo sio kwa ukubwa huo ambao watu wanajaribu kuaminisha wengine! Hivi kweli kuna mwenye akili timamu anayeweza kuhusisha mgogoro wa CHADEMA na Serikali ya CCM una uhusiano wowote na masuala ya dini?! Kama upo huo uhusiano basi nielimishe na kama haupo, sasa how come tena suala la Bashe kuvaa kanzu lihusishwe na hicho ulichoita joto kama sio kutaka kuingiza elements za kidini pasipo stahili?
Mkuu Ban-CN, you're in denial. Hali yako hiyo haina maana kwamba huoni kilichopo, bali unafanya yale ya mbuni, kuficha kichwa akidhani hawezi kuonekana.
Watu wa aina yako wanatumia sana mbinu hiyo ya kuwa wabaguzi wa kidini, wakati wakipalilia udini wenyewe.
Vazi alilovaa Bashe ni wazi alikusudia aonekane hivyo kwa tamko alilodhani yeye ni muhimu na kubwa mno. Wengi wa aina yako mnakana mavazi ya aina hiyo hayaashirii udini na wala haina uhusiano wowote na kujitambulisha imani aliyo nayo muhusika! Nani atakubaliana na upuuzi huu.
Hata kama asili ya vazi hilo haukuwa na utambulisho huo enzi hizo, hilo haliondowi ukweli kwamba siku hizi, na hasa hapa kwetu, vazi hilo linavaliwa kwa sababu kuu moja tu, ya kujitambulisha imani ya mvaaji. Limefanywa kuwa vazi la utambulisho wa imani; ndiyo maana imekuwa kama rasmi kuvaa vazi hilo nyakati za sherehe kuu za imani hiyo.
Sasa unapokuja hapa na kujifanya hilo wewe hulioni, na kwamba halipo, maana ya kukana jambo lililo wazi ni nini, kama siyo kuficha usichotaka uonekane unacho, udini?

Halafu hivyo hivyo unakana kuwa hakuna j"joto". Maaskofu wanapozungumzia HAKI, mashekh hawaoni haki ni muhimu; wanajuwa tu AMANI ndilo jambo muhimu. Umejiuliza kwa nini binaadam wa nchi moja wakageuka na kuwa na uamini tofauti kiasi hicho kwa sababu zipi? Kwenye ngazi hiyo tunawazungumzia viongozi hao; lakini huku chini miongoni mwetu sisi raia, waTanzania huoni kuwa tunagawanywa na tunaanza kutiliana mashaka; na hasa tukichochewa na watu wa aina yako mnaojificha kichwa huku kiwiliwili kikiwa wazi. Kundi lenu hili, ambalo hata humu JF linapambana kweli kweli ndio wachochea moto unaoleta "joto" ambalo wewe unajidai hulioni kwa kuanza kulaumu wanaolisema kuwa lipo bila ya kujificha ndani ya imani.
Watu sasa mnashangilia waziwazi waTanzania wenzenu kufanyiwa uovu, kwa vile tu kiongozi mnae mtetea ni wa imani yenu!
Unafiki na hadaa nyingi zinazofanyika wakati huu haziwezi kuficha kinachowasukuma mfanye maovu mnayowafanyia waTanzania wenzenu..
 
hilo ni vazi la Kiarabu,Baada ya Ibahim kumzaa Ismail na Isaka,Isaka akamzaa Yakobo,Waisraeli walihamia utumwani Misri walikokaa miaka 400!,mavazi ndio hayo!。 Yesu baada ya kuzaliwa Bethlehemu,alikulia Misri maisha yake yote,mavazi ndio hayo。 Hadi aliporudi Israel na umri wa miaka 30, japo hakuacha dini yoyote,lakini dress code ndio hiyo!。
P
Sielewi unacho eleza hapa..., "Hakuacha dini yoyote", ni nini? 'Judaism', haikuwa dini? 'Christianity' ilitoka wapi na ilianza lini; baada ya uwepo wa Islam?

Vazi lilikuwaje la waarabu. Eneo hilo waliishi waarabu peke yao?

Vazi hilo hilo unaloliita la waarabu, leo hii siyo "dress code" ya kutambulisha uislam,(hasa hapa Tanzania)? Unapokwenda msikitini siku za Eid na nyinginezo, hiyo siyo 'dress code' ya kutambulisha dini? Mwanamke anapovaa baibui hapa kwetu hajitambulishi imani yake hata kama ilikuwa dresscode ya waarabu?
Watoto wa kiTanzania (wasichana) wanapolazimika kuwa na 'uniform' zinazowatambulisha wao dhidi ya wengine, lengo lake ni lipi? Kwa nini watoto wote wasichana wasitakiwe kuvaa 'uniform' hiyo hiyo ya kufunika vichwa?

Tunapofanya mambo ya kututambulisha kuwa tupo tofauti na wengine , maana yake ni nini?

haya ni maswala ambayo sote tunatakiwa kujiuliza kama taifa la waTanzania. Kama ni swala la 'dress code' pekee (honestly), bila ajenda nyingine nyuma yake; basi tusiitumie 'dress code' hiyo kama utambulisho wa chochote.
 
Hapa mbona kama walikuwa kwenye futari au shughuli ya kidini?!
That's the point. Ni vazi rasmi kwenye tukio hilo ambalo ni la kidini.

Tatizo tulilo nalo ni kuhusisha maswala ya imani katika baadhi ya mambo ya kiserikali. Viongozi wa serikali hawana sababu yoyote ya kujihusisha kwenye maswala ya kiimani. Wakienda huko waende kama raia wengine wote wanavyofanya kwenye imani zao.
 
MKuu leo nakupa respect (tofauti na kwenye mambo ya sisiemu)

Kanzu ni vazi asili ya arabuni -- kama ilivyo suti ulaya kwa wazungu

Jambo hili halihitaji hata elimu ya form 4
Kuna Kaunda suti zinazovaliwa sana na watu wa system,.hizo ni kutoka Mashariki kwa Wachina.
 
Sielewi unacho eleza hapa..., "Hakuacha dini yoyote", ni nini? 'Judaism', haikuwa dini? 'Christianity' ilitoka wapi na ilianza lini; baada ya uwepo wa Islam?

Vazi lilikuwaje la waarabu. Eneo hilo waliishi waarabu peke yao?

Vazi hilo hilo unaloliita la waarabu, leo hii siyo "dress code" ya kutambulisha uislam,(hasa hapa Tanzania)? Unapokwenda msikitini siku za Eid na nyinginezo, hiyo siyo 'dress code' ya kutambulisha dini? Mwanamke anapovaa baibui hapa kwetu hajitambulishi imani yake hata kama ilikuwa dresscode ya waarabu?
Watoto wa kiTanzania (wasichana) wanapolazimika kuwa na 'uniform' zinazowatambulisha wao dhidi ya wengine, lengo lake ni lipi? Kwa nini watoto wote wasichana wasitakiwe kuvaa 'uniform' hiyo hiyo ya kufunika vichwa?

Tunapofanya mambo ya kututambulisha kuwa tupo tofauti na wengine , maana yake ni nini?

haya ni maswala ambayo sote tunatakiwa kujiuliza kama taifa la waTanzania. Kama ni swala la 'dress code' pekee (honestly), bila ajenda nyingine nyuma yake; basi tusiitumie 'dress code' hiyo kama utambulisho wa chochote.
mkuu kama umeweza kuitaja baibui kwenye hoja yako--- bashe hakuna haja ya kumlaumu kwa lolote maana raisi wake anavaa mavazi ya namna hiyo sana---

and still tunarudi palepale--- baibui, kanzu sio dini wala ibada --- haijalishi wingi wake kuonekana yakivaliwa msikitini wala sikukuu wala matukio ya kidini fulani

jibu linabaki paleplae hayo mavazi sio dini
 
hilo ni vazi la Kiarabu,Baada ya Ibahim kumzaa Ismail na Isaka,Isaka akamzaa Yakobo,Waisraeli walihamia utumwani Misri walikokaa miaka 400!,mavazi ndio hayo!。 Yesu baada ya kuzaliwa Bethlehemu,alikulia Misri maisha yake yote,mavazi ndio hayo。 Hadi aliporudi Israel na umri wa miaka 30, japo hakuacha dini yoyote,lakini dress code ndio hiyo!。
P
Swali lilikuwa hivi: "Misri ya wakati huo ilikuwa ya Kiislam"?
Wewe ukaamua kujibu vingine kabisa!
 
mkuu kama umeweza kuitaja baibui kwenye hoja yako--- bashe hakuna haja ya kumlaumu kwa lolote maana raisi wake anavaa mavazi ya namna hiyo sana---

and still tunarudi palepale--- baibui, kanzu sio dini wala ibada --- haijalishi wingi wake kuonekana yakivaliwa msikitini wala sikukuu wala matukio ya kidini fulani

jibu linabaki paleplae hayo mavazi sio dini
Mkuu achana na wajinga hawa, waoga mpaka kwenye mavazi, ni chuki na udini tu

Halafu ukute sio wanasara wa kweli ni wale jamaa zetu wa..... Au basi tuache tu
 
Mkapa sijui ila Magu alikua akivaa mara kibao kupokea Viongozi wa MENA.
Picha nyengine hii hapa akiwa na waziri wa Saudia, you can see there ni official attire.
View attachment 3315109
Mkuu kuna muktadha wa kuvaa hayo mavazi, kwa Bashe hayakuwa mazingira sahihi sana kuyavaa. Inapotokea anakuja kiongozi kutoka India mfano Modi inaweza kuwa muktadha mzuri viongozi wetu kuvaa Kurta au Pathani Suit, ikitokea amekuja Tinubu wa Nigeria inaweza kuwa vizuri kuvaa yale majoho yao ya Kinigeria kama kielelezo cha kuthamini utamaduni wao.
 
We jamaa unaonekana ni mdini uliyepitiliza,Mbona kanzu ni vazi la kawaida sana,Hata viongozi wakristo kuna wakati wanavaa?
Unakosea , unajua kila kitu kina wakati wake hata angevaa bukta pale tungesema pia , kuna maadili ya viongozi wa umma na mavazi pia ,
Labda nikuulize na unipe mfano Bashe ina maana katika viongozi wooote muislamu ni yeye tu?

Ieleweke kwamba haikua sawa ,ushawahi kumuona akiwa amevaa kanzu bungeni? Nijibu hapa kwanini hujawahi kumuona hapa hapa
 
Back
Top Bottom