gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 5,035
- 7,490
Hata nikifuta, tayari athari ishakuwepoMkuu huu unaofanya ni ushamba.
Hata nikifuta, tayari athari ishakuwepoMkuu huu unaofanya ni ushamba.
Ila usiamini sana maneno mtandaoniMkuu huu unaofanya ni ushamba.
Waroma walivaa toga, sio kanzu.Sawa nakubali, waroma walivaa kanzu, sasa kwanini tuseme kanzu ni za waislam na wala sio wakristo?
HayaWaroma walivaa toga, sio kanzu.
Nimebahatisha vyema,yeah, mkuu--- sema nawe naona unataka kunibana katika angle tata sana mkuu 🤣.
paragraphs zako zina hoja mbalimbali sana -- i respect that-- but i worry that you have assumed my religion -- this is not good
naam nahitihimisha mkuu chuki za kidini ni kupungukiwa maarifa tu -- regardless mtu yuko pande gani. wewe wasome walioshtuka kwenye uzi huu hoja zao ni baseless
Sunna mkuuu--- unataka twende huku kweli 🤣 -- mkuu yoda mimi nilidhani una maarifa makubwa mkuu -- kumbe wewe ni kama mimi tu na unaweza hata ukawa chini yangu---Sunnah ni nini?
Misri ya wakati wote sio nchi ya Kiarabu, Misri hadi karne ya 6AD bado haikuwa na Waarabu na wala walikuwa hawazungumzi kiarabu, Waarabu walivamia karne ya saba.Misri ya wakati wote ni nchi ya Kiarabu,hilo vazi ni vazi la Kiarabu,Yesu alikulia Misri na alivaa Kanzu, Bikira Maria alivaa hijab, mavazi haya yako kwenye sheria ya Mussa ambayo ndio sheria pekee ya Mungu wa Wakristo, Waislamu na Judaism regardless kulikuwa na dini gani!。
P
Mkuu nashukuru kwa compliment nzuri, napokea pongezi zako naimani zitanifanya kuongeza bidii,,Nimebahatisha vyema,
Wewe umwelevu, mjanja na muadilifu
Na hili ni jambo jema kuliko udini
Hongera sana
Kwa nini waumini wengi huwa wanaenda kuswali wakiwa wamevaa hilo vazi, kwa nini ijumaa, ramadhani, sikukuu za eid na maulid ndio kanzu huwa inavaliwa zaidi??Sunna mkuuu--- unataka twende huku kweli 🤣 -- mkuu yoda mimi nilidhani una maarifa makubwa mkuu -- kumbe wewe ni kama mimi tu na unaweza hata ukawa chini yangu---
ukitaja sunna kwamba ?/?
vipi mkuu kila anayekula na mkono wa kulia -- kwahiyo anakua anaashiria yeye ni muislamu sasa???
maana Mtume amesisitiza hilo mkuu?
vipi kuomba kabla ya kulala--- kila anayeomba anakua musilamu
LABDA MIMI NDO SIELEWI LAKINI SIDHANI KAMA MIMI NDO SIELEWI 🤣
Google tu mkuuSunnah ni nini?
Siyo sahihi. Waliojenga 'pyramids' hawakuwa waarabu.Misri ya wakati wote ni nchi ya Kiarabu
Google uniambie mkuu.Google tu mkuu
SawaGoogle uniambie mkuu.
wewe mkuuu ushauri pekee naoweza kukupa ni kwamba jielimishe mkuu----- na ninaanza kua mkali mkuu --- jibu kwanza swali langu #246. ukijibu namimi ntakujibu swali hili---- hatuwezi kuacha watu mnazua taharuki kizembe zembe mkuu---Kwa nini waumini wengi huwa wanaenda kuswali wakiwa wamevaa hilo vazi, kwa nini ijumaa, ramadhani, sikukuu za eid na maulid ndio kanzu huwa inavaliwa zaidi??
Unataka 'declaration' ya namna gani; ya matamko au ya vitendo?lini wamedeclare kwamba hayo ndo mavazi ya kuashiria imani yao --- nifunze mkuu --- mimi naamini ujinga ndo unafanya watu wakiona mavazi hayo waone ni dini --- kama si hivyo basi mjinga ntakua mimi na nipo tayari kutoa ujinga -- naomba nielimishe
ni lini mavazi hayo yametambulika rasmi ni ya kiislamu
EEEeeenHEEeeee!wewe mkuuu ushauri pekee naoweza kukupa ni kwamba jielimishe mkuu----- na ninaanza kua mkali mkuu --- jibu kwanza swali langu #246. ukijibu namimi ntakujibu swali hili---- hatuwezi kuacha watu mnazua taharuki kizembe zembe mkuu---
issue ya ujinga hapa alaumiwe mwalimu nyerere mkuu----- turudi kwenye mada mimi sjajua wewe ni imani gani na sihitaji kujua --- lakini kama muislamu akitoka akasema kanzu , baibui ni vazi la kidini hatakua sahihi mkuu.Unataka 'declaration' ya namna gani; ya matamko au ya vitendo?
kama ni ya vitendo sioni kwa nini ukose kuliona hilo.
Unajuwa mkuu 'Lax', kuna tamaduni ambazo zimeingia miongoni mwetu za kutosema kitu lakini vitendo vinaonekana hata kama hakuna maneno mengi yanatumiwa kuashiria vitendo hivyo.
Unayejitangaza kutokuwa "mjinga" inawezekana kabisa; hapana..., inaonyesha dhahiri kabisa kuwa unapohadaa watu unataka watu hao waamini hizo hadaa zako, ukiamini kuwa wewe ni mjanja kuliko hao unaowaita "wajinga", kumbe mjinga ni wewe mwenyewe.
Sio kweli, katika maeneo ya mashariki ya kati ambapo kanzu inavaliwa kwa uchache sana ni pamoja na Syria na Lebanon. Ukitaka kujua hilo angalia hata viongozi wao wakina Saddam, Nawaf Salam, Hariri, Assad na hata huyu mtawala wa sasa wa Syria, vazi lao katika shughuli rasmi za serikali mara nyingi ni suti zaidi.Waarabu kibao pale iraq, syria, lebanon na kwengine wanavaa kanzu na misalaba juu na bar wanaingia na sio waislam ni wakristo na hakuna anaeshangaa
Tatizo hawa wenzetu wakisema neno mwarabu basi ni wanakusudia uislam kuwa sana makini nao, wanajifanya kuuchukia waarabu kumbe ni wanachukia waislam
Ndio nikawaambia alishindwa firauni mtaweza nyie?
Hizi dini zilikuwepo, zipo na zitaendelea kuwepo na hakuna awezaye kuiondoa moja ni mpaka Mungu mwenyewe atake
Kwahiyo kujitia chuki ni kujiumiza mwenyewe moyo wako na afya yako
twende kwa hoja mkuu, soma swali la yoda ,, soma jibu langu---- hatua kwa hatuaEEEeeenHEEeeee!
Kumbe hata 'stamina' huna?
Sasa mtu kama wewe utamdanganya nani kuwa huendeshwi na udini?
Sioni tena maana ya kuendelea na majibishano, baada ya kujuwa unasimamia wapi.
Kuna jambo ambalo unatakiwa ujue kwa upana wake. Uislamu ni mfumo mzima wa maisha either kwa muongozo wa quran na hadithi au sunnah. Kuna kundi kubwa tu la Waislamu wanaamini kuvaa kama mtume ni sunnah japo kuna wengine wanaweza kuwa na mawazo tofauti. Wagalatia wao hawaamini mavazi ya Yesu yana maana yoyote kiimani kwao.issue ya ujinga hapa alaumiwe mwalimu nyerere mkuu----- turudi kwenye mada mimi sjajua wewe ni imani gani na sihitaji kujua --- lakini kama muislamu akitoka akasema kanzu , baibui ni vazi la kidini hatakua sahihi mkuu.
usiangalie wanafanya nini kwa wingi wao----
nimeomba unielimishe juu ya jambo hilo , lakini bado hujafanya hivyo
na ninaomba radhi kwa kutumia lugha ambayo imeonekana haina staha