Recent content by Komeo Lachuma

  1. Komeo Lachuma

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    Wewe mume wako hujamweka hapa. Na Maria Sarungi tunamjua, Prof Sarungi tunamjua. Wewe ni nani? Ok. Sisi tunasema uraia alio nao hautoshi aongezewe Uwe mwingi na wa hadhi ya kipekee kwa kazi anayoifanya.
  2. Komeo Lachuma

    Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

    Muislamu anaenda kupata mabikra 72. Na kama ni mbibi mabwana 72. si ndiyo?
  3. Komeo Lachuma

    Stability ya Tundu Lissu niliiona pale Hayati Magufuli aliposema alimuahidi Cheo ili asigombee Urais 2020 lakini alikataa

    Hata wakenya wana kiingereza kibovu sema kwa kuwa ninyi hamjui na wanaongea fluently mnaamini wanaongea kiingereza kizuri.
  4. Komeo Lachuma

    Hivi Ally Hapi anafanya Mikutano ya hadhara kama nani? Mbona cheo chake hakina tija yoyote!?

    Nlidhani wewe ungeonesha unachojua zaidi umeonesha hujui. Jibu hoja dogo usiwe chawa kama mwashambwa unabwabwaja tu. Yaani chadema ifikirie mtu wa kufaa kufanya kazi CCM? Huko ni kukosa hoja. Leo hii Yanga iseme Simba mwacheni mchezaji flani hawafai. Na Simba nao wanamwacha? Hii mbona haihitaji...
  5. Komeo Lachuma

    Stability ya Tundu Lissu niliiona pale Hayati Magufuli aliposema alimuahidi Cheo ili asigombee Urais 2020 lakini alikataa

    Ungeandika tu kiswahili. Kiingereza chako cha ugoko. Huwezi sema how can you proof.
  6. Komeo Lachuma

    Hivi Ally Hapi anafanya Mikutano ya hadhara kama nani? Mbona cheo chake hakina tija yoyote!?

    Leo Chadema wanaangalia nani anafaa na nani hafai CCM? HUU NI UPUMBAVU. TUJADILI ISSUES ZETU CDM. CCM WANASEMA MBOWE HAFAI UENYEKITI MBONA HAMJAMWONDOA?
  7. Komeo Lachuma

    Hivi Ally Hapi anafanya Mikutano ya hadhara kama nani? Mbona cheo chake hakina tija yoyote!?

    HAPA UMECHEMKA. WEWE UNAULIZA KAMA NANI? HAPA UNALETA DHANA KUWA KUNA MAMBO YANAKUSUMBUA KWA YEYE KUFANYA MKUTANO. SO CCM WAMEFANIKIWA. MAANA WEWE ALLY HAKUHUSU WHY UULIZE? PILIPILI USO ILA YAKKUWASHIA NINI?
  8. Komeo Lachuma

    Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

    BADO SANA. BADO HUJASEMA DOGO.
  9. Komeo Lachuma

    Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Hana akili. Kama ana kitoto cha miaka 9 alete kwangu nikioe ili tuone kama ni jambo sahihi.
  10. Komeo Lachuma

    Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Hii ilianza zamani sana soma Habari ya Aisha ambaye aliuzwa akiwa na miaka 9
  11. Komeo Lachuma

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Hiki kijamaa kibwege sana kilidhani watu watakisifia upuuzi wake. Kitakuwa kichoko. Wanaume huwa hatuwezi acha watoto waumizane kwa maneno ya mama yao. Tunalinda watoto at all cost
  12. Komeo Lachuma

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Ni bwana mdogo huyo hana akili. Na pengine story katunga. Watoto wanagombana badala ya kutafuta namna kuwafundisha kuishi pamoja anapiga makonzi? Hana akili. Anaweza hata kuua mtoto kwa namna hiyo.
  13. Komeo Lachuma

    Napenda sana majirani wa aina hii

    NIMEISHIA PALE ULIPOSEMA UNAMKOA KWENZI. HAKUNA MTU MWENYE AKILI ANAPIGA MAKONZI WATOTO. HATA SIKU MOJA. NLIONA TU HUNA AKILI FROM THERE. HUJUI BALAA LINGINE AMBALO UNAWEZA KUTANA NALO KWA KUPIGA MTOTO KICHWANI. ULILELEWA VIBAYA SANA.
Back
Top Bottom